CCM kimeanza kuumana

CCM kimeanza kuumana

HATIMAYE UMMA WA WATANZANIA WAMESTUKA NA WAMEANZA RASMI KUJITAMBUA.

TUNATAKIWA TUFANYE HIVI PALE MAKAO MAKUU YAO DODOMA

BINAFSI NITASHIRIKI KWA KUSHIKA NYUNDO NA KUBOMOA VIBAO NA KUICHANACHANA BENDERA
 
Muhuni mzee wa msoga na genge lake walikula mpaka wakatutapikia wananchi tukalalamika sana ila sasa Samia anakula mpaka anatunyea na kutuharishia kabisa
 
Boti linaelekea kugonga Mwamba,mikataba 30 iliyosainiwa Dubai kama itaonekana yenye kuliuza Taifa basi watu wataikataa CCM.
 
Rais wa kwanza kutoka upinzani
20230706_114429.jpg
 
Tafuta mbinu nyingine baba'angu!!!

Hiyo imebumaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom