- Thread starter
- #21
Yes, wenyewe ndio wote 🙏🙏🙏Nape si alishasema kina wenyewe, au Katibu Mkuu hakusikia!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, wenyewe ndio wote 🙏🙏🙏Nape si alishasema kina wenyewe, au Katibu Mkuu hakusikia!!?
"Yule mtu" shetaniMr Chongolo tungerudia na ubunge pia ili wananchi wakapate wawakilishi wanaowataka kuliko wale wa kusimikwa na "yule mtu"
Check your records!Kama katibu Mkuu tu,
Chadema imesajiliwa kwenye mioyo na roho zetu, tunatoa kwa Moyo kujenga chetu. Kwetu Ni Chadema na Chadema Ni sisiNchi ngumu sana hii bwashee!
Ni kweli, demokrasia ya figisu figisuCCM demokrasia iko juu sana, Ndio maana unaona mambo kama haya,
Kuweka Cash register mnakwepa nini wazee 😄😄Chadema imesajiliwa kwenye mioyo na roho zetu, tunatoa kwa Moyo kujenga chetu. Kwetu Ni Chadema na Chadema Ni sisi
Bora hii kuliko kuwa na mkt mmoja miaka 20.Ni kweli, demokrasia ya figisu figisu
Wewee kwani akina chongolo wamepatikaje! Je wakati wa jiwe walikuwa wapi!? Je abdukitembo kindovu yuko wapi?Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,
CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,
Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Iingeni CCM mtafika safari yenu bila hivyo tuna miaka 100 mingine,Wewee kwani akina chongolo wamepatikaje! Je wakati wa jiwe walikuwa wapi!? Je abdukitembo kindovu yuko wapi?
miaka 20 lkn kidemokrasia sio kifigisufigisuBora hii kuliko kuwa na mkt mmoja miaka 20.
😁😁😁Hakuna mtu mwenye figisu kama Mzee DJmiaka 20 lkn kidemokrasia sio kifigisufigisu
Sio sawa kumuita mwenzako hivyo"Yule mtu" shetani
Hata Katambi na Silinde walisema hivyo hivyo bwashee!Chadema imesajiliwa kwenye mioyo na roho zetu, tunatoa kwa Moyo kujenga chetu. Kwetu Ni Chadema na Chadema Ni sisi
Kuwa kwenye Chama cha ukoo ni kupoteza muda,Hata Katambi na Silinde walisema hivyo hivyo bwashee!
Sasa uchaguzi wa Shina ndo kitu ya kuongelea kweli? Fanyeni hivyo kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa tuone. Kwa kuanza Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti wa chama tawala.Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,
CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,
Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Fanyeni na nyinyi simnachama na ninyiSasa uchaguzi wa Shina ndo kitu ya kuongelea kweli? Fanyeni hivyo kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa tuone. Kwa kuanza Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti wa chama tawala.
CDM ndio nini? Achana na CCM ni habari nyingine kabisa
jivikeni na ninyi hilo koti kama inawezekana,Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Mimi naizungumzia cdm kama chama cha siasa na sio vyombo vya dola.
Chama kinamiaka 30 kimeongozwa na ndg wawili tu yaani kijana na mkwewe tu,
Hiyo ndio maana ya zidumu fikra za Mwenyekiti,
MaCCM ya kikujibu nistue mkuu, yalivyo ya hivyo hovyo yanajitekenya na kucheka yenyewe.Mr Chongolo tungerudia na ubunge pia ili wananchi wakapate wawakilishi wanaowataka kuliko wale wa kusimikwa na "yule mtu"