CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

Chadema imesajiliwa kwenye mioyo na roho zetu, tunatoa kwa Moyo kujenga chetu. Kwetu Ni Chadema na Chadema Ni sisi
Kuweka Cash register mnakwepa nini wazee πŸ˜„πŸ˜„
 
Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Wewee kwani akina chongolo wamepatikaje! Je wakati wa jiwe walikuwa wapi!? Je abdukitembo kindovu yuko wapi?
 
Wewee kwani akina chongolo wamepatikaje! Je wakati wa jiwe walikuwa wapi!? Je abdukitembo kindovu yuko wapi?
Iingeni CCM mtafika safari yenu bila hivyo tuna miaka 100 mingine,
 
Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Sasa uchaguzi wa Shina ndo kitu ya kuongelea kweli? Fanyeni hivyo kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa tuone. Kwa kuanza Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti wa chama tawala.
 
Sasa uchaguzi wa Shina ndo kitu ya kuongelea kweli? Fanyeni hivyo kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa tuone. Kwa kuanza Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti wa chama tawala.
Fanyeni na nyinyi simnachama na ninyi
 
CDM ndio nini? Achana na CCM ni habari nyingine kabisa

Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Mimi naizungumzia cdm kama chama cha siasa na sio vyombo vya dola.
 
Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Mimi naizungumzia cdm kama chama cha siasa na sio vyombo vya dola.
jivikeni na ninyi hilo koti kama inawezekana,
 
Chama kinamiaka 30 kimeongozwa na ndg wawili tu yaani kijana na mkwewe tu,

Hiyo ndio maana ya zidumu fikra za Mwenyekiti,

Hushangai nchi ina miaka 60 imeongozwa na chama kimoja tu?
 
Mr Chongolo tungerudia na ubunge pia ili wananchi wakapate wawakilishi wanaowataka kuliko wale wa kusimikwa na "yule mtu"
MaCCM ya kikujibu nistue mkuu, yalivyo ya hivyo hovyo yanajitekenya na kucheka yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…