CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Maelezo ya mwanzo yangetosha tuu ila kufananisha na vitu vya maana Duniani huko unakosea watu, umasikini huu miaka 60 ya uhuru bado kusifia ujinga ni kuprove beyond doubt kwamba hatuwazi sawasawa
 
VIVA CCM VIVA,
 
Reactions: Ame
Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara sana, japo wapo wanaopenda kujidai ni chao. Hakijawahi wala hakitawahi kumilikiwa na mtu hata mmoja. Hata baba wa Taifa hakuwahi kukimiliki seuze watu wengine? Sote tutaenda na kupita tu...Kiduma chama tawala!
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
NA TUWAACHE WAFU WAZIKANE WAO KWA WAO
 
Rais wetu hatutaki wakumpinga ndani ya ccm
 
Futuhiiii!! Wakishachukua what next!? Na nchi haiko kwenye uchaguzi Hadi 2024/2025!?
 
CCM mmekosa watu wa kuwasemea Vizuri, Lazima mtengeneze dawati la Propaganda haraka,

Hongera mwandishi unaeleweka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…