SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Watoe namba ya kuchangia online
Na washauri wake washamjulia wanapita humo humo.Nguvu nyingi kuliko akili 😄
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea michango inayodhalilisha utu ama heshima ya Taifa. Tutapokea kila aina ya mchango kutoka kwa Watanzania. Atakayechanga Tsh.500, Tsh. 1,000, Tsh. Milioni moja wote tutapokea. Hata wale ambao hawana mapenzi na CCM tunawaomba na nyie mtuchangie."
Dkt. Nchimbi amesema maandalizi ya kampeni yanahitaji nguvu ya kifedha, ikiwemo ununuzi au ukodishaji wa magari, uchapishaji wa vipeperushi, mabango, tisheti, kanga, mafuta na gharama nyinginezo.
"Kwakuwa kila chama kinachoenda kwenye uchaguzi kinakuwa na maandalizi ya kampeni, na CCM inafanya hivyo na moja ya maandalizi muhimu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kuwa na nguvu ya fedha”, amesema Dkt. Nchimbi.
Amefafanua kuwa miezi michache iliyopita CCM ilitangaza idadi ya wanachama wake waliokuwa zaidi ya milioni 12, hatua iliyosababisha hamasa kubwa ya kutaka kuchangia kampeni. Hadi kufikia asubuhi ya Jumatatu, chama hicho kimefikisha wanachama waliosajiliwa kidijiti zaidi ya milioni 13.19.
"Sasa kutokana na hamasa ya wanachama wetu tumesema sasa tuwashirikishe sasa katika uchangiaji. Kwahiyo Kamati Kuu ya CCM iliamua tufanye harambee ya kutafuta fedha ambayo tunakusudia kuifanya kesho…katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan"
Harambee hiyo inatarajiwa kushirikisha wanachama wa CCM kutoka maeneo mbalimbali nchini pamoja na wadau wa chama hicho, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kukabiliana na ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Nasema hivi, cdm walikuwa mbele sana kimaono kwenye tone tone. Chama la wazee ndio linaiga wakati wa jiooooni. Lete zile kejeli tena za kutembeza kibakuli. Hapa nilipo ni kama nakuona ulivyojaa fedheha.Tone tone kidigitali si ilishakauka gentleman?
halafu tone tone kwenye kibakuli Lema akasepa nayo ng'ambo wakati ombaomba mkuu akisota korokoroni au🤣
CCM wanahitaji 100bilions cash kesho na si vinginevyo, right?🐒
Wanamjaza upepo tuNa washauri wake washamjulia wanapita humo humo.
Duh aiseeeJiandae kuichangia CCM gentleman, ni muhimu zaidi🐒
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea michango inayodhalilisha utu ama heshima ya Taifa. Tutapokea kila aina ya mchango kutoka kwa Watanzania. Atakayechanga Tsh.500, Tsh. 1,000, Tsh. Milioni moja wote tutapokea. Hata wale ambao hawana mapenzi na CCM tunawaomba na nyie mtuchangie."
Dkt. Nchimbi amesema maandalizi ya kampeni yanahitaji nguvu ya kifedha, ikiwemo ununuzi au ukodishaji wa magari, uchapishaji wa vipeperushi, mabango, tisheti, kanga, mafuta na gharama nyinginezo.
"Kwakuwa kila chama kinachoenda kwenye uchaguzi kinakuwa na maandalizi ya kampeni, na CCM inafanya hivyo na moja ya maandalizi muhimu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kuwa na nguvu ya fedha”, amesema Dkt. Nchimbi.
Amefafanua kuwa miezi michache iliyopita CCM ilitangaza idadi ya wanachama wake waliokuwa zaidi ya milioni 12, hatua iliyosababisha hamasa kubwa ya kutaka kuchangia kampeni. Hadi kufikia asubuhi ya Jumatatu, chama hicho kimefikisha wanachama waliosajiliwa kidijiti zaidi ya milioni 13.19.
"Sasa kutokana na hamasa ya wanachama wetu tumesema sasa tuwashirikishe sasa katika uchangiaji. Kwahiyo Kamati Kuu ya CCM iliamua tufanye harambee ya kutafuta fedha ambayo tunakusudia kuifanya kesho…katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan"
Harambee hiyo inatarajiwa kushirikisha wanachama wa CCM kutoka maeneo mbalimbali nchini pamoja na wadau wa chama hicho, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kukabiliana na ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Umeweka avatar yangu shukrani sana kwa kuona hilo
Ni rahisi mno gentleman na Mungu akubariki ulipopunguza 🐒Duh aiseee
Ova
Biln 100 mkashindane na Salum Mwalimu?CCM Mbele kwa mbele
Wafanya biashara watapigwa sanaHawana jipya wahuni
Nlipo huku hakuna biashara hizoNi rahisi mno gentleman na Mungu akubariki ulipopunguza 🐒
hicho sio kibakuli gentleman,Nasema hivi, cdm walikuwa mbele sana kimaono kwenye tone tone. Chama la wazee ndio linaiga wakati wa jiooooni. Lete zile kejeli tena za kutembeza kibakuli. Hapa nilipo ni kama nakuona ulivyojaa fedheha.
CCM na wote wenye mapenzi mema na Tanzania tunaendelea kuijenga Tanzania ya kila mTanzania kula upepo mwanana.Nlipo huku hakuna biashara hizo
Wala mauzauza gentleman
Mwendo wa kula upepo mwanana huku tunaangalia mnavyogaragazwa juani
Ova
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea michango inayodhalilisha utu ama heshima ya Taifa. Tutapokea kila aina ya mchango kutoka kwa Watanzania. Atakayechanga Tsh.500, Tsh. 1,000, Tsh. Milioni moja wote tutapokea. Hata wale ambao hawana mapenzi na CCM tunawaomba na nyie mtuchangie."
Dkt. Nchimbi amesema maandalizi ya kampeni yanahitaji nguvu ya kifedha, ikiwemo ununuzi au ukodishaji wa magari, uchapishaji wa vipeperushi, mabango, tisheti, kanga, mafuta na gharama nyinginezo.
"Kwakuwa kila chama kinachoenda kwenye uchaguzi kinakuwa na maandalizi ya kampeni, na CCM inafanya hivyo na moja ya maandalizi muhimu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kuwa na nguvu ya fedha”, amesema Dkt. Nchimbi.
Amefafanua kuwa miezi michache iliyopita CCM ilitangaza idadi ya wanachama wake waliokuwa zaidi ya milioni 12, hatua iliyosababisha hamasa kubwa ya kutaka kuchangia kampeni. Hadi kufikia asubuhi ya Jumatatu, chama hicho kimefikisha wanachama waliosajiliwa kidijiti zaidi ya milioni 13.19.
"Sasa kutokana na hamasa ya wanachama wetu tumesema sasa tuwashirikishe sasa katika uchangiaji. Kwahiyo Kamati Kuu ya CCM iliamua tufanye harambee ya kutafuta fedha ambayo tunakusudia kuifanya kesho…katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan"
Harambee hiyo inatarajiwa kushirikisha wanachama wa CCM kutoka maeneo mbalimbali nchini pamoja na wadau wa chama hicho, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kukabiliana na ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
We katoee tuCCM na wote wenye mapenzi mema na Tanzania tunaendelea kuijenga Tanzania ya kila mTanzania kula upepo mwanana.
In fact,
mchumia juani hula kivulini 🐒