GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kampeni dhidi ya nani?
 
Tone tone kidigitali si ilishakauka gentleman?
halafu tone tone kwenye kibakuli Lema akasepa nayo ng'ambo wakati ombaomba mkuu akisota korokoroni au🤣

CCM wanahitaji 100bilions cash kesho na si vinginevyo, right?🐒
Nasema hivi, cdm walikuwa mbele sana kimaono kwenye tone tone. Chama la wazee ndio linaiga wakati wa jiooooni. Lete zile kejeli tena za kutembeza kibakuli. Hapa nilipo ni kama nakuona ulivyojaa fedheha.
 
Changa la Macho.....NRNE
 
Nasema hivi, cdm walikuwa mbele sana kimaono kwenye tone tone. Chama la wazee ndio linaiga wakati wa jiooooni. Lete zile kejeli tena za kutembeza kibakuli. Hapa nilipo ni kama nakuona ulivyojaa fedheha.
hicho sio kibakuli gentleman,
hiyo ni namna ya kupata baraka na neema

Changia CCM kwa moyo wote na Mungu akubariki sana ulipotoa gentleman 🐒
 
Nlipo huku hakuna biashara hizo
Wala mauzauza gentleman
Mwendo wa kula upepo mwanana huku tunaangalia mnavyogaragazwa juani

Ova
CCM na wote wenye mapenzi mema na Tanzania tunaendelea kuijenga Tanzania ya kila mTanzania kula upepo mwanana.

In fact,
mchumia juani hula kivulini kwa maslahi mapana ya wote 🐒
 
 

Attachments

  • IMG-20250611-WA0007.jpg
    93 KB · Views: 15
CCM na wote wenye mapenzi mema na Tanzania tunaendelea kuijenga Tanzania ya kila mTanzania kula upepo mwanana.

In fact,
mchumia juani hula kivulini 🐒
We katoee tu
Huku nlipo kila huduma napata
Naletewa sifati 😄 poleni wadanganyika

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…