GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chama cha majambazi# ccm
tafadhali ndugu mdau wa maendeleo,
tuna chini ya masaa28 kuchangia taifa kupitia CCM,

Changia kizalendo kupitia njia hizi za kuaminika, na Mungu akubariki sana 🐒
 

Attachments

  • IMG-20250811-WA0012.jpg
    111.9 KB · Views: 19
CCM na wote wenye mapenzi mema na Tanzania tunaendelea kuijenga Tanzania ya kila mTanzania kula upepo mwanana.

In fact,
mchumia juani hula kivulini kwa maslahi mapana ya wote 🐒
Acheni kuchangisha pesa,mnatumia pesa ujanjajanja
Mnasema mna mabilionn kwa matrilion
Kongwa pale kungekuwepo na hospitali ya maana yenye vifaa,madaktari,wauguzi wazuri hata yake yasingeetokea
Mtu anatoka kongwa mpk dodoma km 77 kufata huduma
(Najuwa mtasema ile kazi ya mungu mungu alimpenda zaidi)

Ova
 
hicho sio kibakuli gentleman,
hiyo ni namna ya kupata baraka na neema

Changia CCM kwa moyo wote na Mungu akubariki sana ulipotoa gentleman 🐒
Peleka use@nge mbali😂
 
Atakayechanga Tsh.500, Tsh. 1,000, Tsh. Milioni moja wote tutapokea. Hata wale ambao hawana mapenzi na CCM tunawaomba na nyie mtuchangie."
Tlaatlaah
Tia neno hapa maana wewe ndo umekuwa ukidhihaki na kubeza CHADEMA kuhusu michango ya Tonetone, kumbe na Mbogamboga wanafanya hayo hayo. Au mkuki kwa Nguruwe
 
Mbona Waliwacheka Chadema Na
TONETONE Wakadai Wanawaibia
Wananchi,wakawafungia Na Account

Kwanza Tuwachangie Wakashindane Na Nani ?

Wanakejeli Sana CCM ,wameweka
Kama Chambo Kuwa Wanachangisha
Kwenye Harambee.
Hili Tusiongee Sana Wakianza Kufanya Matumizi Ya Kutisha.

Lakini Kiuhalisia CCM Hela Watachota HAZINA Kuu Ya Nchi,
Waje Na Unafiki Mwingine.
 
Hiyo changia changia ni ya lazima, ukigoma wanakufanyia figisu kwenye shughuli zako za kikazi au hata biashara!
Wengine wachache watachangia ili kujipendekeza wakilenga ama kupata teuzi au kupewa tenda serikalini!.
 
Hao pesa yao ni kushibisha matumbo
 
Mwish

Hela wamenunulia pikipiki za Samia na Mabaiskeli ya Waya meshi sasa hivi wanatulilia michango...
Kwa mujibu wa Msajili wa Vyama vya Siasa Ukomo wa Kampeni kwa CHAMA CHA SIASA ni bilioni 17 yeye anataka Bilioni 100 wafanyie nini kama sio kutaka kugawa rushwa na Kampeni kw mgombea Uraisi anatakiwa tu atumie Bilioni 6.
 
Bila kutumia state organs, chukuwachakomapema hamna kitu.
Kwenye hili swala TISS, TRA etc etc etc
LAZIMA WATUMIKE!
 
Wakuu nijuzeni hao wekundu wa msimbazi kwenye harambee ya Chama imara wamechangia Tsh ngapi et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…