Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RubbishWajumbe tukutane dodoma na Bwakila atakuwepo
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu mwenyekiti-bara kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.
"Maandalizi yote yamekwisha fanyika na kukamilika na tunajiandaa kupokea wajumbe wote wa mkutano mkuu. Karibuni sana Dodoma," amesema Makalla, leo Jumanne, Januari 7, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 Januari 2025.
Ukumbi huo, wenye uwezo wa kuchukua takriban watu 3,000, unakarabatiwa kwa kiwango cha juu ili kuhakikisha mazingira bora kwa mkutano huo muhimu. Mkutano huu utakuwa na agenda kadhaa, ikiwemo kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), kufuatia kujiuzulu kwa Komredi Abdulrahman Kinana mwaka jana.
Balozi Nchimbi, akiwa ameambatana na Manaibu Katibu Mkuu wa CCM, John Mongella (Bara) na Dkt. Mohamed Said Dimwa (Zanzibar), pamoja na wajumbe wa Sekretarieti, alishuhudia kasi kubwa ya maandalizi hayo, huku akiwapongeza wahusika kwa jitihada zinazofanywa kuhakikisha kila kitu kinakuwa tayari kwa wakati.
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, maandalizi ya mkutano huo yamefikia hatua nzuri. Alitangaza rasmi kuanza kwa maandalizi hayo jana, tarehe 7 Januari 2025, akibainisha kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan.
kama figoMbele Kwa Mbele
FOmu Moja Tu Ya Rais
Amiiin!!Hakuna zaidi ya CCM,
CCM itaendelea kutawala milele......
Huku hakuna jipyaKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu mwenyekiti-bara kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.
"Maandalizi yote yamekwisha fanyika na kukamilika na tunajiandaa kupokea wajumbe wote wa mkutano mkuu. Karibuni sana Dodoma," amesema Makalla, leo Jumanne, Januari 7, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
CCM: Kituko cha Karne kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Makamu MwenyekitiKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu mwenyekiti-bara kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.
"Maandalizi yote yamekwisha fanyika na kukamilika na tunajiandaa kupokea wajumbe wote wa mkutano mkuu. Karibuni sana Dodoma," amesema Makalla, leo Jumanne, Januari 7, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
CCM: Kituko cha Karne kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti*𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀
🗓️18 - 19 Januari, 2025 | 📍𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮
𝗔𝗝𝗘𝗡𝗗𝗔 3;
1 𝑈𝑐ℎ𝑎𝑔𝑢𝑧𝑖 𝑤𝑎 𝑀𝑎𝑘𝑎𝑚𝑢 𝑀𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒𝑘𝑖𝑡𝑖 𝑤𝑎 𝐶𝐶𝑀 𝑇𝑎𝑖𝑓𝑎
2 𝐾𝑢𝑝𝑜𝑘𝑒𝑎 𝑘𝑎𝑧𝑖 𝑧𝑎 𝑐ℎ𝑎𝑚𝑎 2022-2025
3 𝐾𝑢𝑝𝑜𝑘𝑒𝑎 𝑡𝑎𝑎𝑟𝑖𝑓𝑎 𝑦𝑎 𝑢𝑡𝑒𝑘𝑒𝑙𝑒𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑤𝑎 𝐼𝑙𝑎𝑛𝑖 𝑦𝑎 𝑈𝑐ℎ𝑎𝑔𝑢𝑧𝑖 𝑦𝑎 𝐶𝐶𝑀 (2020/2025)
#𝐂𝐂𝐌𝐈𝐦𝐚𝐫𝐚
#𝐕𝐢𝐭𝐞𝐧𝐝𝐨𝐕𝐢𝐧𝐚𝐒𝐚𝐮𝐭𝐢
#𝐓𝐮𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚𝐍𝐚𝐌𝐚𝐦𝐚
#𝐊𝐚𝐳𝐢𝐈𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐞