Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Hivi nyakati hizi kuna upinzani mkubwa au kelele tu?CCM hawajawahi kuthubutu kumfukuza uanachama mbunge wa kuchaguliwa hasa nyakati hizi za upinzani mkubwa. Hivyo itabaki kuwatisha
Hahahaaa, nimemkumbuka ACACIA wa miaka ya 1880+, Carl Petersingekuwa vyema wangefukuza na wale walioliingiza taifa katika mikataba ya kimangungo.....