Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

Kinyago walicho kichonga ccm kinazidi kuongeza jazba. Badala ya kuwatisha tu, sasa kinawameza kabisa. Kauli zile za ccm ina wenyewe kimyaaa !! Maana ccm sasa ni ya Magu peke yake.
 
Tomito Tomato si ndo wewe uliemlisha maneno mkatoliki.....na kusema asiposema yale uliyosema wewe basi wewe Tomito Tomato ungekuja kusema ukweri.

Acheni propaganda za kimaskini.
 
Bashite kuwa katibu mkuu CCM# Vita vya madawa ya kulevya haijawahi kumwacha mtu slama
 
Huyo msukuma asilimia 75 ya mali anazomiliki zilitoka kwa lowassa ni mnafiki sana huyo jamaa na wakati wa kampeni alimsema vbaya mzee wa watu alkua masikin wakutupwa sa hv anamilik helicopter
 
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
hapo mi naona bashe ndio wa kutimuliwa. huyo mtu ni adui wa ccm ana work inside. bora awe pembeni kutetea maslahi ya wawekezaji fisadi na wanyonyaji wa uchumi wetu tukiwa tunamwona kwa nje ya ccm. nappe na msukuma naona ni wajinga wanahitaji kuelimishwa.
 
Nap
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.

Nape amejitahidi sana kuwa mkweli wakifanya hivyo wanamwonea
 
Uchaguzi 2020 utakuwa mgumu sana kama haya mambo yataenda hivi
 
Wawa fukuze ata kesho hamna neno me siyo ccm!
 
Hivi nyakati hizi kuna upinzani mkubwa au kelele tu?
Ukiitishwa uchaguzi leo kubenea atarudi kweli?

Mkuu;
Tatizo ni kwamba, tumebaki kutishana tu na kwetu wanasemaga; Mtu mzima, hatishiwi nyau. CCM ya kumfukuza mbunge aliyechaguliwa na umma uliiona wapi??

Ni hii iliyokalia kuti kavu?? Ati, Kubenea hatarudi; Mbona mna maigizo saana?? Hebu tumwombe mtukufu saana alivunje bunge leo, watu wapewe ruksa kugombea wenyewe kwa garama zao wenyewe tuone ccm wangapi wangerudi.

Kuzuia mikutano ya hadhara sio dawa, Kuwatia ndani wapinzani sio dawa, kuwaweka jela kwa makosa ya kubuni sio dawa, siasa zimo mioyoni mwa watu.

Watu weshajua kuwa ni ccm imewafikisha hapa walipo wala sio mwingine. Watu watakiadhibu hicho chama na wale woote wanaojihusisha na hicho chama.

Watu watakaa kimya hadi hiyo 2020 hata mfanye kituko toka mbingu ya 6 lakini 2020 adhabu ipo pale pale.
 
Africa ni bara jeusi.

Udikteta kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi ya taifa.

Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
 
kumbe na hao ni vigogo LOL
Kweli huko CCM watu wameisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom