Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

Daud Bashite kwa sasa ndiyo Mwenyekiti kivuli wa CCM anachokiamua yy ndicho kinakuwa sheria
 
Hivi uzushi unalipa eeeh au uzushi ni kazi?
 
Hahaaa, wasiokubali nyeusi kuitwa nyeupe ndio watakaoondolewa
 
Well, hii ni tetesi na si busara sana kujadiri tetesi. Hata hivyo, hili likitokea kweli itakuwa sawa na Chama kujaribu kukimbia kivuli chake. Kuwafukuza hao jamaa kuna hasara nyingi zaidi ya faida. Ninafikiri Magu is too smart to realize that. Wise people normally keep their "enemies" closer - in order to watch their every move.
 
The opposite is the truth
 
Wamfukuze tu huyo Nape aje kwetu tumwite shujaa na tumpe nafasi ya ukatibu mkuu.
 
Mwisho wa CCM hauko mbali
 

We baba uliye juu Na uyasemayo yawe kweli no Faraja kwa watanzania walioko ktk mate so kwa kukosa watetezi,hii ndo nafasi pekee kwa bashe Na nape kuungana Na upinzani kuiua ccm Na mipanya buku yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…