HUJUMA NZITO KWA SERIKALI YA JPM KUTOKA GAZETI LA JAMHURI
Wa ndugu hivi karibuni tumejionea Gazeti la Jamhuri likiandika habari za kichochezi Kuhusu Wizara ya Nishati na Madini. Dalili hizo zilianza tarehe 23/5/2017 walipotoa taarifa kwenye Gazeti Lao kuwa "WAZIRI APIGA DILI" ukisoma humo ndani hakuna Waziri aliyetajwa ila wamezungumzia tenda za Miradi ya REA. Taarifa tulizopata ni kuwa Bw. Manyerere wa Gazeti hili alikuwa akiwapigia simu watendaji Wakuu wa REA na Wizara kuwauliza Kuhusu tenda hizo, licha y kupewa taarifa sahihi lakini aliamua kuandika kinyume na maelezo ya Watendaji hao. Alienda mbali zaidi na kuanza kuwapigia baadhi ya Wakandarasi walioshinda tenda hizo na kuwatishia kuwa Kama hawatatoa chochote Basi atawaandika kwenye Gazeti lake. Yote hayo alikuwa akiyafanya akijia Bajeti ya Wizara ya Nishati na itawasilishwa tarehe 25-26/5/2017 na lengo lake lilikuwa ni kujipatia fedha. Baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kuahirishwa hadi tarehe 1-2/6/2017 kutokana na Waziri wa Wizara hiyo Prof. Muhongo Kutumbuliwa na Mhe. Rais wetu mpendwa kutokana namkushindwa kutimiza majukumu yake ya kusimamia masuala ya usafirishaji mchanga nje ya Nchi, Bw. Manyerere alianza tena kuwatafuta Baadhi ya Wakandarasi Kama ALHATAM, NIPO, Derm na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kuwapigia simu akitaka maelezo ya Miradi hiyo na kumtaka Muhongo atoe taarifa kuwa kwa nini alijiuzulu au alifukuzwa kazi. Baada ya kushindwa kupata taarifa kutoka kwa watu hao aliamua kutoa taarifa kwenye Gazeti lake la tarehe 30/5/2017 kuwa Mapya yamfikia Muhongo
Mapya yamfika Muhongo, Wiki hii kuchezea kichapo na kuweka picha za baadhi ya watendaji wa WIZARA, na TMAA hiyo. Taarifa hiyo ilitolewa siku 2 kabla ya Hotuba ya Wizara hiyo kwa lengo la kuwataka wananchi waichukie Serikali yao kwa kuandika habari ambazo Hazina ukweli wowote. Tunaomba hawa Jamhuri kupitia Manyerere wafuatiwe kwa karibu kwa kuandika taarifa za uzushi, kwa kushirikiana na mdada mmoja aliyekosa tenda za REA kupitia Kampuni zake za FUTURE CENTURE. Huyu dada ndie tatizo Kubwa kwani ametumiwa na baadhi ya watu ambao wapo kwenye Kampuni yake kutoa Rushwa kwa Viongozi wa Gazeti la Jamhuri ili liandike habari zanuzushi, tunawaomba TAKUKURU mumfualie huyo dada wa Kampuni ya FUTURE CENTURE kwani anapita huku na kule kuchafua viongozi na Rais wetu mpendwa kwa kulazimisha apewe kazi na REA ilhali
Ameshindwa kwenye ushindani.
JPM piga kazi na wafuatilie hao wote, na wale wote waliohusika na suala la mchanga ambao wamehusika katika kusabanisha madini yetu yaibiwe. Pia Tunaomba uwafuatilie ACACIA kupitia Mwakilishi wao hapa nchini Deo Mwanyika kwani tumepata taarifa kuwa Viongozi Wakuu wa ACACIA wameingia NCHINI Juzi na walikuwa wa kufanya vikao usiku DSM kufanya Mbinu za kuhujumu taarifa ioiyotolewa na Serikali. Taarifa tukizonazo ni Kwamba wapo Wabunge wawili wa upinzani Tundu lisu na Lema wameshapokea chao ili waishambulie Serikali wakati wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini. Wabunge hao wanafanya kazi ya kiwashawishi wwnzao ambao wengi wameshakubali kuunga mkono hoja ya kupinga taarifa ya Mchanga. Kwa sasa ACACIA wantafuta Wabunge wa CCM ili kuongeza idadi ya Wabunge ambao watapokea vitita vya pesa kupinga Bajeti hiyo kwa vigezo vya suala la mchanga.
JPM Tupo pamoja tunaendelea kuwafuatilia kwa karibu, wakina Manyerere, Lema, Lisu na Kampuni ya Future Centure hasa kipindi hichi Cha Bajeti huko Dodoma.
Pamoja sana