Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Zidumu fikra za Mwenyekiti Pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha naona hujui kupendwa
Ova
Na wewe jiandae unafikiri unavyojitoa ufahamu kila siku kupost mashudu humu utabaki salamaMmmmmmmmmh
Nilitegemea wapo mafisadi,haya bwana.Hao kwa maslahi ya wananchi sio dili sana.Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.
Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Saa 6 mchana atakuwa kashinda.
Uzuri wa Magufuli anagusa mpaka watu wa chini,huku chadema ikionekana inatetea wezi na mafisadi
Maadui wapi Sema itikadi zetu tunatofautiana swrthrtHata kucheka sicheki nakushangaaaa, eti wewe haswa ulivyo mmoja wa maadui yangu humu... !
Na wewe jiandae unafikiri unavyojitoa ufahamu kila siku kupost mashudu humu utabaki salama
Subiri ripoti ya pili ya kisheria na uchumi utasikia kila kitu,ila ya kwanza ni kwa kuwa Rais alikuwa anampenda sana Mhongo akaona ili kumtendea haki amtengue tu,lakini ripoti ya pili ndio itakuja na mapendekezo ya kisheria na kiuchumiAti anagusa nani??Wakati wanaohoji wanpotezwa.
Haya lini atamgusa Kalemani??Maana huyu ndiye mwandishi wa ile Mikataba.mbona ndiyo mlimpa Unaibu waziri wakati ni Jangili la amsino yetu.
Ati huyu aliyeuza Raslimali zetu akazawadiwa U director na Makaburi bado ni Waziri atatumbuliwa lini??
Sifa kubwa ya mwanaccm lazima uwe mfitini,muongo,na Jambazi Inawezekana hao uliowataja hawana hizo sifa ndiyo sababu wanafukuzwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Chadema bana ....mnasubiri maembe chini ya mstimu wa umeme!
Subiri ripoti ya pili ya kisheria na uchumi utasikia kila kitu,ila ya kwanza ni kwa kuwa Rais alikuwa anampenda sana Mhongo akaona ili kumtendea haki amtengue tu,lakini ripoti ya pili ndio itakuja na mapendekezo ya kisheria na kiuchumi
Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie
Wanasubiri oil chafu , si unajua fisi hawindi anasubiri kuzoa mizogaChadema bana ....mnasubiri maembe chini ya mstimu wa umeme!