Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Lucas Mwashambwa angalau wamwache na ephen_ wake tu.Wasigawanyike tu ila wagawame,fito,nyasi,mbao,bati na hata nyasi ili kila mmoja afe na chakeee🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas Mwashambwa angalau wamwache na ephen_ wake tu.Wasigawanyike tu ila wagawame,fito,nyasi,mbao,bati na hata nyasi ili kila mmoja afe na chakeee🤪
Mtupumzishe sasa😂Lucas Mwashambwa angalau wamwache na ephen_ wake tu.
Wapi? Nieleweshe kabla sijakusemea kwa Lucas🤸Wale wa kule ndiyo wanajua!!
👋😔🤣
Luca wenzio wanagawana urithi hukuuu🤓Lucas Mwashambwa angalau wamwache na ephen_ wake tu.
Yeye ni mtu wa kundi la chawa!!!Luca wenzio wanagawana urithi hukuuu🤓
Dark days inamajibuKwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila kitu"
Leo miaka 30 baadae CCM itakuwa imebeba mauchafu mangapi? Kama wakati ule Mwalimu aliona kuwa imegeuka kokoro, leo hii CCM ikoje?
Kabla ya uchaguzi 2025 CCM itagawanyika kutokana na makundi maslahi yaliyo ndani ya chama hicho.
Kundi la kwanza ni lile ambalo lilikuwa linaamini kuwa Magufuli atatawala milele. Kundi hili lilikuwa halijajitayarisha kuishi nje ya mfumo wa Magufuli.
Kundi la pili ni lile lililokuwa linaamini kuwa ikifika mwaka 2025 Magufuli atatoka madarakani na wao kuweka mtu wao.
Kundi hili la pili halikuwahi kuwaza kuwa Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2025.
Kundi la tatu ni la wafuasi wa Samia Suluhu Hassan. Hawa ni wafuasi walioibukia kutoka kusiko julikana.
Kabla ya Samia kuwa Rais, kundi hili la watu walikuwa hawajawahi kuamini kuwa Samia anafaa kuwa Rais.
Lakini Samia alipoupata urais kundi hili likagundua kuwa halikubaliki na kundi la kwanza wala na la pili, hivyo likajibanza kwa Samia.
Kwa kuwa ndani ya CCM hivi Sasa hakuna mtu anayeheshimika na makundi yote hayo matatu, bila ya shaka mgawanyiko ndani ya chama hicho ni Lazima kutokea!!
Hakuna uwezo wa hiyo ccm kugawanyika wakiwa Bado madarakani, maana wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya Dola. Wataendeleo kubaki huko huko na madhila yote wanayokutana nayo, maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, na hawana uhakika wa kutendewa haki kwenye chaguzi iwapo watakuwa nje ya siasa za mbeleko.Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila kitu"
Leo miaka 30 baadae CCM itakuwa imebeba mauchafu mangapi? Kama wakati ule Mwalimu aliona kuwa imegeuka kokoro, leo hii CCM ikoje?
Kabla ya uchaguzi 2025 CCM itagawanyika kutokana na makundi maslahi yaliyo ndani ya chama hicho.
Kundi la kwanza ni lile ambalo lilikuwa linaamini kuwa Magufuli atatawala milele. Kundi hili lilikuwa halijajitayarisha kuishi nje ya mfumo wa Magufuli.
Kundi la pili ni lile lililokuwa linaamini kuwa ikifika mwaka 2025 Magufuli atatoka madarakani na wao kuweka mtu wao.
Kundi hili la pili halikuwahi kuwaza kuwa Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2025.
Kundi la tatu ni la wafuasi wa Samia Suluhu Hassan. Hawa ni wafuasi walioibukia kutoka kusiko julikana.
Kabla ya Samia kuwa Rais, kundi hili la watu walikuwa hawajawahi kuamini kuwa Samia anafaa kuwa Rais.
Lakini Samia alipoupata urais kundi hili likagundua kuwa halikubaliki na kundi la kwanza wala na la pili, hivyo likajibanza kwa Samia.
Kwa kuwa ndani ya CCM hivi Sasa hakuna mtu anayeheshimika na makundi yote hayo matatu, bila ya shaka mgawanyiko ndani ya chama hicho ni Lazima kutokea!!
Kwa njia moja ni sahihi Lakini hata KANU ya Kenya waliamini kuwa wapo salama.Hakuna uwezo wa hiyo ccm kugawanyika wakiwa Bado madarakani, maana wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya Dola. Wataendeleo kubaki huko huko na madhila yote wanayokutana nayo, maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, na hawana uhakika wa kutendewa haki kwenye chaguzi iwapo watakuwa nje ya siasa za mbeleko.
Kenya hakuna makondoo wa sampuli ya hapa kwetu. Wakenya wanaojitambua vizuri ndio maana mabadiliko kwao yanawezekana.Kwa njia moja ni sahihi Lakini hata KANU ya Kenya waliamini kuwa wapo salama.
Bahati nzuri hakuna mwanadamu anayemiliki nyakati.
Hii nayo ni hoja. Usikilizwe!!Kenya hakuna makondoo wa sampuli ya hapa kwetu. Wakenya wanaojitambua vizuri ndio maana mabadiliko kwao yanawezekana.
Kabisa kabisa !CCM tangu ilipoamua kuachana na Mola na kuungana na yule "aliye kinyume na Mola" kimefitinika sana!
Hii hii yenu kuna vita kali kati ya Sukuma gang vs makundi menginelabda unazungumzia CCM ile ya Kenya ya Isac Ruto, Chama Cha Mashinani 🐒
Igawike vipande v3😅Hii hii yenu kuna vita kali kati ya Sukuma gang vs makundi mengine
Waambie ukweli Hawa mapimbi!CCM igawanyike mara ngapi? CCM ipo vipande vipande mpaka sasa, kifuatacho itasambaratika na kupotea mazima na kubaki historia.
Hiyohiyo yenye machawa🤭Hii hii yenu kuna vita kali kati ya Sukuma gang vs makundi mengine
Kuitabiria CCM kugawanyika ni sawa na fisi kutabiria mkono wa binadamu anayetembea utaanguka muda si mrefu! Ahahahahaha!!Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila kitu"
Leo miaka 30 baadae CCM itakuwa imebeba mauchafu mangapi? Kama wakati ule Mwalimu aliona kuwa imegeuka kokoro, leo hii CCM ikoje?
Kabla ya uchaguzi 2025 CCM itagawanyika kutokana na makundi maslahi yaliyo ndani ya chama hicho.
Kundi la kwanza ni lile ambalo lilikuwa linaamini kuwa Magufuli atatawala milele. Kundi hili lilikuwa halijajitayarisha kuishi nje ya mfumo wa Magufuli.
Kundi la pili ni lile lililokuwa linaamini kuwa ikifika mwaka 2025 Magufuli atatoka madarakani na wao kuweka mtu wao.
Kundi hili la pili halikuwahi kuwaza kuwa Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2025.
Kundi la tatu ni la wafuasi wa Samia Suluhu Hassan. Hawa ni wafuasi walioibukia kutoka kusiko julikana.
Kabla ya Samia kuwa Rais, kundi hili la watu walikuwa hawajawahi kuamini kuwa Samia anafaa kuwa Rais.
Lakini Samia alipoupata urais kundi hili likagundua kuwa halikubaliki na kundi la kwanza wala na la pili, hivyo likajibanza kwa Samia.
Kwa kuwa ndani ya CCM hivi Sasa hakuna mtu anayeheshimika na makundi yote hayo matatu, bila ya shaka mgawanyiko ndani ya chama hicho ni Lazima kutokea!!
Wagawanyike tu nchi iponeKwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.

Chawa sijui wako upande upi 😄 🤣 😂Hiyohiyo yenye machawa🤭