Pre GE2025 CCM kugawanyika kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dark days inamajibu
 
Hakuna uwezo wa hiyo ccm kugawanyika wakiwa Bado madarakani, maana wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya Dola. Wataendeleo kubaki huko huko na madhila yote wanayokutana nayo, maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, na hawana uhakika wa kutendewa haki kwenye chaguzi iwapo watakuwa nje ya siasa za mbeleko.
 
Kwa njia moja ni sahihi Lakini hata KANU ya Kenya waliamini kuwa wapo salama.

Bahati nzuri hakuna mwanadamu anayemiliki nyakati.
 
Kwa njia moja ni sahihi Lakini hata KANU ya Kenya waliamini kuwa wapo salama.

Bahati nzuri hakuna mwanadamu anayemiliki nyakati.
Kenya hakuna makondoo wa sampuli ya hapa kwetu. Wakenya wanaojitambua vizuri ndio maana mabadiliko kwao yanawezekana.
 
CCM tangu ilipoamua kuachana na Mola na kuungana na yule "aliye kinyume na Mola" kimefitinika sana!
Kabisa kabisa !
CCM hii ya kutukana na kudhalilisha mpaka Wazee sijawahi kuishuhudia tangu Nyerere, Mwinyi na hata Mkapa !!
 
Kipasuke hadi kife mbali huko, haiwezekani toka 1977 hadi leo taifa la watu mamilioni tusiwe na mabadiliko katika uongozi wa juu. Hii ina maana gani, poor and stupid.

Yaani tuzaliwe hadi kufa hatuna experience ya vyama vingine kutuongoza!
 
Kuitabiria CCM kugawanyika ni sawa na fisi kutabiria mkono wa binadamu anayetembea utaanguka muda si mrefu! Ahahahahaha!!
 
Wagawanyike tu nchi ipone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…