Pre GE2025 CCM kugawanyika kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati ni ukuta.

Ipo siku CCM itakufa. Vyama vipya vitaibuka. Tanganyika itakombolewa kwenye makucha ya Zanzibar.
 
Wewe unadanganywa sana huko kwenye genge lenu liitwalo chadema, huna unalojua unafanya propaganda mfu za watu kama chadema, Jana mjadala wenu wa uchaguzi nyasa Msigwa kakiri kuwa chama chenu kimejaa rushwa,pia Msigwa kakubali kabisa kuwa nyie chadema ni Nyumbu kwasababu hamfikiri sawasawa.
 
Wakati ni ukuta.

Ipo siku CCM itakufa. Vyama vipya vitaibuka. Tanganyika itakombolewa kwenye makucha ya Zanzibar.
Vitaibuka na kufa kama cuf na nccr,Muungano utaboreshwa na kudumu zaidi,ila naona chama kinachofuata kufa ni Magaidi wa chadema
 
Mimi pia ni miongoni mwa wale ambao wamejibanza Angalau for the time being πŸ‘πŸ˜·

Tunajaribu kuusoma mchezo 😳 ,

Umeandika vitu vya kweli kabisa ,
Na moja katika hayo ni pale uliposema ndani ya Chama hakuna tena anayeheshimika na makundi yote hayo matatu πŸ‘

Mpasuko upo ila tusisahau pia kwamba kwa tabia za WaCCM wengi vitu vitatu vinaweza kuwafanya waendelee kuonekana kama bado wapo pamoja ,

Uoga, Njaa, Ulafi πŸ‘πŸ˜³πŸ˜‡πŸ€ 
 
Unajua sababu ya kuunda cheo cha naibu waziri mkuu?
chini ya kapeti unafahamu?
Umeshamuona nalilii aliyeletewa msaidizi akisikika tena?
 
Limekuwa genge la mbwea (gang of wolves)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…