Wajinga ndiyo waliwao IQ ndogoWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Konacho sikitisha mbinu zote hizi zinafanywa na mabilioni yanatumika ili tu kulinda maslahi ya wapiga dili walio serikalini kwa mgongo wa CCMWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Usiwe na wasiwasi wewe jikabizishe kwa Mwenyezi Mungu tu,ndiye anayejua ya keshoWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Ni huzuni kubwa sanaa, Nchi za Africa madaraka ni matamu sanaa. Wako radhi wakutoe roho wabaki madarakaniKonacho sikitisha mbinu zote hizi zinafanywa na mabilioni yanatumika ili tu kulinda maslahi ya wapiga dili walio serikalini kwa mgongo wa CCM
Uzuri ni kwamba watu wameshtukia mapema mipango miovu!Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Kuna vyama 18 vya siasa nchini.Kwahy chadema wamesusa, chauma wala 😂
Watu wa KuSupport nchi hii utawaona mtandaoni tu kwenye inshu za Umbeya na Mpira basi.Chadema inachohitaji ni kupata support ya watu na sio kusubiri huruma ya Serikali na Ccm.
Kuhusu Mbowe tusimuhukumu kwakuwa yeye ndo kaijenga chadema mpaka kuwa threat
Ishu sio Chadema kuteseka, ni nchi kubaki kwenye mkwamo mpaka 3000+CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.