CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

Kuuliza Sio ujinga, JPM aliwahi kuteuliwa na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kugombea Urais?​

Kwanini ccm wanamponda sana baada ya kufariki?​

 
Atakuwa anachapia kazi kwenye venderation,Upendo wa wabunge kuhoji mwenzao haupo.Siku akirudi bungeni utashangaa wanapiga makofi na vigelegele.
I see! The issue is getting 'hot' and forcing the rise of eye blow!
 
KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA APRIL 1, 2022

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa Karibuni Dodoma.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#CCMImara
#KaziIendelee

 
Barakoa muhimu,tusije pata mapya ya UVIKO 19.
 
Kila la kheri ,ila iwe nafasi ya kurekebisha mapungufu yenu Kwa faida ya taifa na SII Kwa ajili yenu na Chama hicho chakavu.
KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA APRIL 1, 2022

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa Karibuni Dodoma.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#CCMImara
#KaziIendelee

View attachment 2163107
 
KUELEKEA MKUT
KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA APRIL 1, 2022

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa Karibuni Dodoma.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalum
#CCMImara
#KaziIendele

Wanaenda kubariki mabadiliko ya katiba katika mambo mawili;
1. Kuurudisha ujumbe wa NEC wa makatibu wa CCM wa mikoa ambao ulifutwa na CCM ya hayati JPM.
2. Kuhakikisha mama anapita bila mtu mwingine kuchukua form tukifika 2025.
 
Kichwa Cha habari kisomeke, CCM na ACT.
 
I cried the whole day when I heard this; BUT I was reminded of something; there is a decree...Nimerudi na nguvu mpya...Mungu bado yupo enzini naamini katika nguvu zake!
 

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, mkumbuke kuna Coronavirus mpya. Isije ikasababisha Dr mpango kuteuliwa tena kuwa Rais​

Duuuh ndiyo nasikia kutoka kwako, aisee niko nyuma ya mda? Kwani kuna wimbi jingine la corona duniani au? Si Mrusi kasababisha dunia na wenye kupanga mambo ya dunia kutulia kuachilia wimbi jingine baada ya Omicron.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…