Another silly season😂😂😂😂JF
Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi
Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi
Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM
Muwe na jioni njema
Ni ilani mkuu, Mama anaweza mpeni kura, mdumbukie Posta muibuke Mbezi😂😂😂 wakuu mnatuonaje lakini embu toeni hoja ambazo ni realistic wazee
mkuu kwema, naomba tutete pmHatutaki story pekee
Nyie endeleeni kuwa mashabiki tu uchawa sio kazi jamani mambo ni magumu mtaani… ata mwendokasi haijaisha unasema barabara za chini 😂😂Ni ilani mkuu, Mama anaweza mpeni kura, mdumbukie Posta muibuke Mbezi
Naye amekuwa mshika Ilani?JF
Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi
Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi
Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM
Muwe na jioni njema
Ilani ni kijitabu tu kama vitabu vingineNaye amekuwa mshika Ilani?
Mangapi mlisema utapeli na yametimizwaUtapeli tupu
Ametimiza la kuiba fedha za umma pekee na teuzi za kiukoo na kidiniMangapi mlisema utapeli na yametimizwa