CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

Mkuu, in practice, hakuna namna unaweza kuunda kamati yoyote ndani ya chama cha siasa na viongozi wa chama husika wasiwe na ushawishi kwenye kamati hiyo. Ni sawa na kusema wazazi wazae mtoto halafu wasiwe na ushawishi kwa hiyo mtoto.

Kuhusu suala la je? Kama hao wachujaji na ni corrupt?


Ndio tunarudi kwenye tatizo la jamii sasa, kwamba kama jamii ni corrupt, na viongozi wanatokana na jamii, kurekebisha hali ya mambo inabidi kutegulate jamii "cause" na sio 'effect' na hili tumelifafanua sana kwenye mijadala ya peke yake.
Hapa mkuu unajicontradict.... Unasema jamii nzima ni corrupt meaning hata KK ipo corrupt so hakuna suluhisho ila tatizo litaendelea si ndio maana yake?

Kuhusu kamati nimesema independent na wana code majina mfano Exxon Mobil ile kampuni kubwa ya uchimbaji mafuta na gesi ikisaka senior managers wa vitengo nyeti ilitumia CIA sababu itakua neutral/HURU kuleta watu iliowachambua nao kuona wapo safi na mafaili yanaletwa so anaingia mfanyakazi asiekuja kwa upendeleo bali sifa zake!!

Sasa kwa CCM mchakato haupo huru sababu bado KK itapitisha wale tu ambao wanakubalika na mwenyekiti sio vinginevyo. Kwahiyo tatizo la mihemko ya wananchi kuchagua linakua halina ufumbuzi zaidi ya kuongeza tatizo jipya la KUJUANA!!
 
Je consultants wakinunuliwa au kupewa maagizo? Kumbuka kuna atakayewalipa consultants na huyo ndie atakayewaambia nini anataka. Kwa hiyo tunarudi pale pale.
Mkuu haya mambo mbona yalifanyika issue ya richmond na hakuna hongo ilitumika? Huwezi ukahonga kampuni kama E&Y kwa pesa za madafu hizi na wao wapoteze credibility yao duniani ni ngumu sana.

Kwahiyo kuanzia ubunge mtaletewa majina matatu ambayo kweli yamechujwa trust me unaweza kuta hta baraza zima la mawaziri lisirudi!! Ila hii ya KK ni yaleyale tu mtachagua kulingana na matakwa ya mwenyekiti.

Kwahiyo bado hii complementary system haisolve tatizo la uninformed voting ya sisi raia.
 
Mkuu, sisemi watu wote ni corrupt, bali nibachosema viongozi kwenye vyama ni reflexion ya jamii. Humo wapo watu wazuri na wabaya. Kuhusu mfano wa kampuni, chama cha siasa na kampuni ni vitu tofauti kabisa. Hakuna namna kwenye chama cha siasa vitafanyika vitu kwenye level za chini bila ridhaa au ushawishi wa viongozi wa juu, na huwezi kusema viongozi wa juu hawaaminiki na viongozi wa chini, anayeaminika ni kampuni zilizo nje ya chama? Hakuna kitu kama hicho, hata kama ni consultation li lazima zimanyike ndani ya vyama husika.

Na kwa taarifa yako ukitumika utaratibu unaofikiri wewe ndio zitaibuka lawama Zaidi kwamba uchambuzi umefanywa na mamluki. Kwa hiyo ni sahihi tu mfumo uliowekwa. Ndio ambao ni 'relatively fair'
Hapa mkuu unajicontradict.... Unasema jamii nzima ni corrupt meaning hata KK ipo corrupt so hakuna suluhisho ila tatizo litaendelea si ndio maana yake?

Kuhusu kamati nimesema independent na wana code majina mfano Exxon Mobil ile kampuni kubwa ya uchimbaji mafuta na gesi ikisaka senior managers wa vitengo nyeti ilitumia CIA sababu itakua neutral/HURU kuleta watu iliowachambua nao kuona wapo safi na mafaili yanaletwa so anaingia mfanyakazi asiekuja kwa upendeleo bali sifa zake!!

Sasa kwa CCM mchakato haupo huru sababu bado KK itapitisha wale tu ambao wanakubalika na mwenyekiti sio vinginevyo. Kwahiyo tatizo la mihemko ya wananchi kuchagua linakua halina ufumbuzi zaidi ya kuongeza tatizo jipya la KUJUANA!!
 
"Inategemea na siku hiyo nimeamkaje"

Kwenye mjadala wako usisahau hii kauli ya rais.
 
Mkuu haya mambo mbona yalifanyika issue ya richmond na hakuna hongo ilitumika? Huwezi ukahonga kampuni kama E&Y kwa pesa za madafu hizi na wao wapoteze credibility yao duniani ni ngumu sana.

Kwahiyo kuanzia ubunge mtaletewa majina matatu ambayo kweli yamechujwa trust me unaweza kuta hta baraza zima la mawaziri lisirudi!! Ila hii ya KK ni yaleyale tu mtachagua kulingana na matakwa ya mwenyekiti.

Kwahiyo bado hii complementary system haisolve tatizo la uninformed voting ya sisi raia.
Mkuu, unatoa mfano wa kampuni ya financial audit? Kumbuka kwenye ukaguzi na ushauri wa fedha kuna fomula ambazo ziko clear! Siasa ni suala nyeti na comlicated kidogo. Sio kama hesabu 1+1= 2.

Ingekuwa ni hivyo tungeikabidhi nchi kwa kampuni moja ya kichina kama vile Huawei, halafu tunawapa miaka 10 nchi iwe na maendeleo kila mahali hahahahahahhha

Suala la siasa ni complicated mkuu, sio kama kampuni ambayo iko straight foward!
 
Mkuu, sisemi watu wote ni corrupt, bali nibachosema viongozi kwenye vyama ni reflexion ya jamii. Humo wapo watu wazuri na wabaya. Kuhusu mfano wa kampuni, chama cha siasa na kampuni ni vitu tofauti kabisa. Hakuna namna kwenye chama cha siasa vitafanyika vitu kwenye level za chini bila ridhaa au ushawishi wa viongozi wa juu, na huwezi kusema viongozi wa juu hawaaminiki na viongozi wa chini, anayeaminika ni kampuni zilizo nje ya chama? Hakuna kitu kama hicho, hata kama ni consultation li lazima zimanyike ndani ya vyama husika.

Na kwa taarifa yako ukitumika utaratibu unaofikiri wewe ndio zitaibuka lawama Zaidi kwamba uchambuzi umefanywa na mamluki. Kwa hiyo ni sahihi tu mfumo uliowekwa. Ndio ambao ni 'relatively fair'
1. Mkuu kwanza nina wasiwasi kama kweli unafuatilia siasa za nchi hii. Hata CCM ilikua na consultant uchaguzi wa 2010 nakumbuka ukatoa hadi projections za majimbo yatakayoanguka na muelekeo wa kura za Kikwete kuwa chini ya 60%. So consultants huwa wapo ila ripoti zao kufanyiwa kazi ni kitu Kingine ila sio kitu kigeni.

Hata CHADEMA walitumia consultant ndio akawapa taarifa za muelekeo wa chama kufikia uchaguzi wa oktoba na majimbo gani wangekosa na yapi wangepata n.k so sio suala la mamluki au nni maana tafiti zinawekwa na methodology inawekwa zinafanyika reliability tests za nguvu so hta ukimpa independent auditor atafikia majibu yaleyale.

2. Kampuni (Public/listed company) na chama ni sawa sababu zinaendeshwa kwa mfumo wa corporate governance yaani bodi, management na Shareholders ambao ndio wanachama. Mbona ukaguzi wa hesabu za CCM unafanywa na auditors binafsi? Mkuu principle za kuongoza taasisi ni zile zile duniani kote otherwise haitokuwa taasisi bali KIJIWE tu.

Nimetoa mfano kma serikali ilitumia auditors wa UK huko kukagua issue za Richmond kivp chama kione wachambuzi wa nje ya chama ni mamluki? Mbona hata ilani inaandikwa na academicians wasio na chama tena wanatolewa Sauzi wengine Nigeria n.k

Kwahiyo tuelewane kwanza kwamba independent commission inawezekana na imeshatumika.
 
Mkuu, unatoa mfano wa kampuni ya financial audit? Kumbuka kwenye ukaguzi na ushauri wa fedha kuna fomula ambazo ziko clear! Siasa ni suala nyeti na comlicated kidogo. Sio kama hesabu 1+1= 2.

Ingekuwa ni hivyo tungeikabidhi nchi kwa kampuni moja ya kichina kama vile Huawei, halafu tunawapa miaka 10 nchi iwe na maendeleo kila mahali hahahahahahhha

Suala la siasa ni complicated mkuu, sio kama kampuni ambayo iko straight foward!
Sasa Ilani ya CCM inapoandikwa na academicians wa kutoka bara zima na nje huwa sio kampuni ila kupendekeza wagombea ndio inakua kampuni?

Mnapofanya analysis ya uchaguzi huwa consultants kibao tu wanaitwa nimetoa mfano wa 2010 maana nawakumbuka sana waloitwa na wakafanya kazi kwa karibu na kamati za siasa na baadhi ya vijana wa kitengo na wakaleta ripoti na ikaonyesha kweli CCM ina hali mbaya baadhi ya mikoa na majimbo je haikugeuka kampuni ila mwaka huu ikipewa hiyo kazi lakini kwa kuchambua wagombea ndio CCM itageuka kampuni?

Mkuu hata hao kamati kuu wanaweza endesha nchi au chama kma kampuni wakitaka maana hata wao wanaweza kuwa na mihemko wakachagua kwa kuangalia watu wanaowafahamu.
 
Mkuu Akishauri Ni Amri Bwana Mwenyekiti Huelewi?😀😁
 
Ukishajua mambo haya yanayoathiri tabia za wapiga kura wa Afrika na mienendo ya wagombea utaelewa ni kwa nini hii 'complementary system' sio tu nzuri bali muhimu sana.

Vinginevyo ni sawa na kugawa bastola kwa kila mwanakijiji kwa hoja kwamba kila mtu ana uhuru, haki ya kumiliki mali na kujilinda. Licha ya kwamba hoja hizo ni za kweli; kwa jamii isiyokuwa na ustaarabu na kujitambua kwa hali ya juu itabuka balaa isiyo ya kawaida. Hiyo haitajalisha sheria zilizopo,kwani ikitokewa watu wengi wakiwa na matatizo, sheria pia haziwezi kusaidia sana.

Akitokea mtu asiyejua lolote atakubaliana moja kwa moja na hoja zako. Na ataamini kweli huo mfumo wa Magufuli, ni kwa faida ya taifa. Iko hivi, mfuatilie vizuri Magufuli na historia yake, sio mtu wa kukubali ushindani, na anapenda kuzungukwa na watu wanaomtii, au neno zuri ni kumsujudia. Lengo hasa la Magufuli kwenye huo utaratibu sio kwa minajili ya maslahi ya taifa, bali anasaka kundi la watu watakaoingia bungeni kwa hisani yake, ili waweze kumuongezea muda wa kukaa madarakani. Hofu yake ni iwapo wataingia watu ambao hawako kwa hisani yake, wanaweza kutokumpa muda wa kukaa madarakani atakavyo.

Inaonekana hata ww umeingizwa mkenge na hilo linalosemwa hadharani, lakini agenda iliyo nyuma ya pazia ni nyingine kabisa. Sipingi maoni yako, lakini ufahamu wazi wazi, maandishi yako yanapandikiza nchi hii kugeuka kuwa ya kutawaliwa kwa shuruti, na wala sio kwa ridhaa ya wananchi. Ww leta mabandiko marefu ukidhani unafanya jambo la maana, kumbe ww unakuwa mmoja ya watu wanapitisha nia chafu za ving'ang'anizi wa madaraka.
 
Back
Top Bottom