CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

Wakuuu, hiii kauli kuwa nitakukata na itategemea nimeamkaje, nimeifikiria Sana.

Kwa kauli hiii Tanzania kwenye democracy kumbe tumeishaweka kaburini kuanzia uongozi wa serikali had kwenye vyama, kiukweli ile kauli ni kauli mbaya Sana kwenye nchi Ya kidemocrasia yani Kwa sasa had Mbunge wa Ccm ili awe Mbunge mwenye maaamuzi sio chama, wala sio Kamati wala sio wananchi bali nimtu mmoja tu itategemea Siku hiyo atakuwa ameamkaje? Hata hili wapo watakaokuja hapa watatetea, jamani Ccm Kwa sasa hakuna cha Kamati kumbe ila kuna mtu mmoja tu, daaah Ccm tumerudi Nyuma hatua Mia moja, hivi anavyotamka hadharani hivyo huko mafichoni si yatakuwa yanafanyika makubwa? Na iweje ubunge wa mtu uamliwe na mtu mmoja? Wale Jamaaa wa upande wa pili walituonya kuwa akimaliza democracy upande wao atakuja kuiondoa kwetu, sasa hapa yupo wa kumtetea? Ccm ilikuwa mbali saaaana kiutendaji na kimfumo ila Kwa miaka minne hiii kwishnea, ili uwe Mbunge kuanzia sasa maaamuz yako na mtu mmoja tu, ebu tuangalie hiii ni hatari mwisho wa Siku hadi watendaji wa vijiji na wenyeviti wa vijiji muamuz atakuwa huyo huyo, na nikwa nini kila kiongozi atoke kwenye mikono Ya mtu mmoja?

Siwezi kuutetea huo uovu he finally lost his class by 90% nani wa kumsemea sasa hapendi kauli jumuishi, cheo kimefanya awe mkubwa wa vyote kwa kila jambo, we have had a shame of the century today. Arbitrariness has totally failed him, I don't see a class of his title in him. Am disappointed badly no no no.
 
Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu.

Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi katika jamii yenye kiwango cha juu sana cha kujitambua, ustaarabu, kuweza kuchanganua mambo na kuamua kwa busara. Ikiwa jamii ina kiwango cha chini cha tabia tajwa hapo juu, kwa kadiri kiwango cha demokrasia na uhuru wa watu kinavyoongezeka, ndio hatari ya kutokea majanga inavyoongezeka na kinyume chake. Hili tutalifafanua zaidi baadae.

Kwa bahati mbaya ni kwamba Afrika bado tupo watu wengi sana/wapiga kura ambao uelewa wetu juu ya mambo na uwezo wetu wa kuchanganua vitu na kufanya maamuzi sahihi ni mdogo. Kwa mfano, % kubwa ya watanzania hatuelewi falsafa, itikadi, misingi na sera ya vyama achilia mbali kuzifuata. Jiulize mfano ukisema chama cha mrengo wa kushoto, mrengo wa kati kushoto, mrengo wa kulia ujamaa wa kidemokrasia na vitu kama hivyo, ni watanzania wangapi wanaelewa unasema nini?

Wapiga kura wengi Afrika amma hupiga kura bila kujua nini wanafanya, au baada ya kuchanganywa ‘Manipulations’ au kwa mihemko ‘emotions’au kwa ushabiki usiokuwa na sababu za kueleweka. Ili hili lieleweke vizuri, nitatoa mifano michache.

Moja, Ushawahi kuona bungeni kwa mfano, mtu anatoa hoja nzuri sana, lakini wajumbe wakiulizwa ‘Mnaikubali hiyo hoja’ wanasema ‘hapanaaaaaaaa’ lakini sio kwamba hawaitaki hoja, ni kwa sababu ya nani katoa hoja, kwa hiyo wajumbe wakishaona mtoa hoja washaikataa hoja tayari hawana haja hata ya kuielewa kwanza?

Mbili, Unajua tunaweza kwenda wote kwenye uchaguzi, wewe ni muadilifu na unahoja nzuri, mimi nikawa ni mjinga flani tu, ila nikasubiria masaa kadhaa kabla ya uchaguzi nikakuzushia kwamba wewe unauza meno ya tembo huku nimetumbua mimacho kweli kweli, na wapiga kura wakakukataa na kunikubali mimi, kisha baada ya uchaguzi (kukushinda), nikasema nilikuwa natania tu, sijawahi kuuona ukiuza meno?

Tatu, Unajua wapiga kura kwenye nchi za kiafrika wakipewa rushwa humchagua mtoa rushwa na kuacha watu wenye maono?

Nne, Unajua kwa mfano wewe ukipiga kampeni kwa kuongea mambo ya maana mwingine akawa anakatika, una uwezo wa kushindwa uchaguzi, na hata mzee wa mauno alishinda kimzaha hivyo hivyo? N.k

Kwa mantiki hiyo basi;

  • Kwa sababu ya uelewa wa waafrika tuliowengi, demokrasia peke yake haiwezi kutusaidia kuwa na nchi zenye ustawi na uongozi bora bali inahitajika mfumo wa ziada kujazia demokrasia ‘Complementary system’

  • Kwa kuwa wapiga kura wanaweza kupiga kura kwa kuvurugwa ‘Manipulation’ kura pekee hazituwezeshi kupata viongozi wa maana, Hivyo utaratibu uliowekwa na CCM kuchuja majina kwa kuzingatia vigezo vingine zaidi ya kupigiwa kura sio tu kwamba ni mzuri bali ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa na hatma ya nchi.

  • Hoja ya Rais Magufuli kwamba watu ambao tayari wana vyeo vya kutumikia wananchi kama wakuu wa mikoa ni bora wasigombee ubunge, inaegemea kwenye mantiki zaidi kwa kuangalia ‘motive’ na inatokana na ‘complementary system iliyotajwa hapo juu kwa ajili ya maslahi ya Taifa

  • Kwa kuwa tatizo la rushwa kwenye uchaguzi bado ni kubwa, kazi anayoifanya polepole kukemea rushwa na kuwatahadharisha watakaotoa rushwa kukatwa majina sio tu kwamba ni nzuri bali pia ni muhimu.
Kwa ujumla, mfumo huo wa kuwa na ‘control mechanism’ zaidi ya kura, haukinzani na demokrasia bali unajazia mapungufu ya demokrasia hivyo sio ‘Contradictory system’ kama baadhi ya wadau wanavyodhani bali ni ‘Complementary system’ na bila kufanya hivyo, tunaweza kukuta nchi nzima ina wabunge wa ajabu haijapata kutokea na kila mtu akabaki anashangaa ikiwemo wapiga kura wenyewe. Kwa hiyo wale wanaodhani mfumo huo ni kinyume na demokrasia, ni vizuri wakafahamu ‘dynamics’ hizi na kwa hili, tunaweza kusema CCM inachukua hatua zasahihi kabisa na zinazokubalika kitaam ku‘regulate’ hali ya mambo kwa maslahi ya taifa.
Ccm bado mpo mfumo wa chama kimoja,acheni udikteta kubalini demokrasia.
 
Wakuuu, hiii kauli kuwa nitakukata na itategemea nimeamkaje, nimeifikiria Sana.

Kwa kauli hiii Tanzania kwenye democracy kumbe tumeishaweka kaburini kuanzia uongozi wa serikali had kwenye vyama, kiukweli ile kauli ni kauli mbaya Sana kwenye nchi Ya kidemocrasia yani Kwa sasa had Mbunge wa Ccm ili awe Mbunge mwenye maaamuzi sio chama, wala sio Kamati wala sio wananchi bali nimtu mmoja tu itategemea Siku hiyo atakuwa ameamkaje? Hata hili wapo watakaokuja hapa watatetea, jamani Ccm Kwa sasa hakuna cha Kamati kumbe ila kuna mtu mmoja tu, daaah Ccm tumerudi Nyuma hatua Mia moja, hivi anavyotamka hadharani hivyo huko mafichoni si yatakuwa yanafanyika makubwa? Na iweje ubunge wa mtu uamliwe na mtu mmoja? Wale Jamaaa wa upande wa pili walituonya kuwa akimaliza democracy upande wao atakuja kuiondoa kwetu, sasa hapa yupo wa kumtetea? Ccm ilikuwa mbali saaaana kiutendaji na kimfumo ila Kwa miaka minne hiii kwishnea, ili uwe Mbunge kuanzia sasa maaamuz yako na mtu mmoja tu, ebu tuangalie hiii ni hatari mwisho wa Siku hadi watendaji wa vijiji na wenyeviti wa vijiji muamuz atakuwa huyo huyo, na nikwa nini kila kiongozi atoke kwenye mikono Ya mtu mmoja?
Huyu Jamaa lazima pia ataamua mbunge gani apite na yupi asipite , yaani upinzani sasa hivi kazi IPO , kuna uwezekano wabunge watakaopita Wa upinzani ni wachache Sana au wasiwepo kabisa.
 
Wakuuu, hiii kauli kuwa nitakukata na itategemea nimeamkaje, nimeifikiria Sana.

Kwa kauli hiii Tanzania kwenye democracy kumbe tumeishaweka kaburini kuanzia uongozi wa serikali had kwenye vyama, kiukweli ile kauli ni kauli mbaya Sana kwenye nchi Ya kidemocrasia yani Kwa sasa had Mbunge wa Ccm ili awe Mbunge mwenye maaamuzi sio chama, wala sio Kamati wala sio wananchi bali nimtu mmoja tu itategemea Siku hiyo atakuwa ameamkaje? Hata hili wapo watakaokuja hapa watatetea, jamani Ccm Kwa sasa hakuna cha Kamati kumbe ila kuna mtu mmoja tu, daaah Ccm tumerudi Nyuma hatua Mia moja, hivi anavyotamka hadharani hivyo huko mafichoni si yatakuwa yanafanyika makubwa? Na iweje ubunge wa mtu uamliwe na mtu mmoja? Wale Jamaaa wa upande wa pili walituonya kuwa akimaliza democracy upande wao atakuja kuiondoa kwetu, sasa hapa yupo wa kumtetea? Ccm ilikuwa mbali saaaana kiutendaji na kimfumo ila Kwa miaka minne hiii kwishnea, ili uwe Mbunge kuanzia sasa maaamuz yako na mtu mmoja tu, ebu tuangalie hiii ni hatari mwisho wa Siku hadi watendaji wa vijiji na wenyeviti wa vijiji muamuz atakuwa huyo huyo, na nikwa nini kila kiongozi atoke kwenye mikono Ya mtu mmoja?
Team Mapambio ndo wanamuharibu Rais...

Sifa zimezidi. So he is all the way right. Mbaya mnoo.
 
Kwani wewe ulifikiri anayechagua wabunge ni mwananchi? Awamu hii ni mwenyenchi 😎😎😎
 
Mkuu, kama ni kweli maamuzi yanafanywa na mtu mmoja ndani ya chama kweli hatari ipo.

Naamini unauzoefu wa kutosha hata kabla ya huyu aliyeko, hali ilivyokuwa hovyo ndani ya Chama.

Samahani lakini, kama itakupendeza hebu tupe mfano wa miaka ya karibuni ambapo CCM ilikuwa mbele kimfumo na kiutendaji kabla ya kurudishwa nyuma.
 
Mliambiwa lakini[emoji38]

Haha naona unatucheka mkuu! [emoji23] Wacha wakatwe labda siku nyingine wakionywa watasikia! Sote kwa umoja wetu tungetimiza majukumu yetu tangu awali tusingefika hapa, kwa sasa mambo yameshaharibika labda tutakuwa nalo la kujifunza.

Ajabu ni kuwa hata wakikatwa kwa kwa kile alichokiita “mood” badala ya kukemea wataanza kuzunguka wakimsifia ili awakumbuke kwenye vijinafasi vingine vingine, amewatia watu vidole vya macho muda mrefu wamemchekea kwa sasa amejaa kiburi cha kiwango cha mwisho.
 
Wakuuu, hiii kauli kuwa nitakukata na itategemea nimeamkaje, nimeifikiria Sana.

Kwa kauli hiii Tanzania kwenye democracy kumbe tumeishaweka kaburini kuanzia uongozi wa serikali had kwenye vyama, kiukweli ile kauli ni kauli mbaya Sana kwenye nchi Ya kidemocrasia yani Kwa sasa had Mbunge wa Ccm ili awe Mbunge mwenye maaamuzi sio chama, wala sio Kamati wala sio wananchi bali nimtu mmoja tu itategemea Siku hiyo atakuwa ameamkaje? Hata hili wapo watakaokuja hapa watatetea, jamani Ccm Kwa sasa hakuna cha Kamati kumbe ila kuna mtu mmoja tu, daaah Ccm tumerudi Nyuma hatua Mia moja, hivi anavyotamka hadharani hivyo huko mafichoni si yatakuwa yanafanyika makubwa? Na iweje ubunge wa mtu uamliwe na mtu mmoja? Wale Jamaaa wa upande wa pili walituonya kuwa akimaliza democracy upande wao atakuja kuiondoa kwetu, sasa hapa yupo wa kumtetea? Ccm ilikuwa mbali saaaana kiutendaji na kimfumo ila Kwa miaka minne hiii kwishnea, ili uwe Mbunge kuanzia sasa maaamuz yako na mtu mmoja tu, ebu tuangalie hiii ni hatari mwisho wa Siku hadi watendaji wa vijiji na wenyeviti wa vijiji muamuz atakuwa huyo huyo, na nikwa nini kila kiongozi atoke kwenye mikono Ya mtu mmoja?
Tundu alivyosema MTU FURANI ni DIKTEKTA watu walikuwa hawajaelewa.
 
Ukishajua mambo haya yanayoathiri tabia za wapiga kura wa Afrika na mienendo ya wagombea utaelewa ni kwa nini hii 'complementary system' sio tu nzuri bali muhimu sana.

Vinginevyo ni sawa na kugawa bastola kwa kila mwanakijiji kwa hoja kwamba kila mtu ana uhuru, haki ya kumiliki mali na kujilinda. Licha ya kwamba hoja hizo ni za kweli; kwa jamii isiyokuwa na ustaarabu na kujitambua kwa hali ya juu itabuka balaa isiyo ya kawaida. Hiyo haitajalisha sheria zilizopo,kwani ikitokewa watu wengi wakiwa na matatizo, sheria pia haziwezi kusaidia sana.
Mkuu unaweza kuwa na wazo zuri sasa huoni kamati kuu kuchagua watu inaweza rudia same mistakes au kwa theory yako ni kwamba anayechaguliwa na kamati kuu ni perfect kuliko na wananchi?

Yaani what if hao 3 wakateuliwa sababu tu ya mihemko ya mwenyekiti? Ama kipenzi na asiyekosoa sera za mwenyekiti bungeni? Kwanini hauoni risk kwa kamati kuchagua watu hovyo kuliko wakiachiwa wananchi??
 
Ukitaka kuamini kuwa kilichoa dikwa kwenye bandiko ni kweli angalia comment hapa. Utajua upo ushabiki wa kindezi sana haufuati mantiki, sera , hoja bali aliyesema ni nani yuko upande gani
 
Majina yapo ktk kompyuta - Dr. Bashiru Ally

12 Mnatafuta Urais Zanzibar
! Katibu Mkuu Wa CCM, Dkt Bashiru Ally

30 August 2018
Amesema Anawajua Wanasiasa na Baadhi ya wanachama Wa CCM Zanzibar Wanaozunguka Zunguka Kabla Ya Muda Kuwania Kiti Cha Urais Wa Zanzibar. Hii ina maana kuna vyama zaidi ya 10 ndani ya CCM Mpya anaainisha Katibu Mkuu Bashiru Ally.
Source : Global TV online

Bernard Membe abaki huko huko CCM aje apambane na mgombea wa UKAWA katika uchaguzi huru utakaorudisha heshima ya Tanzania ndani na nje. Maana Bernard Membe hana hofu na ushindani.
 
Wewe unadhani changamoto zilizotajwa kwenye mada ya msingi, zinaweza kutatuliwaje nje ya kutumia njia hiyo?
Mkuu iundwe independent committee ambayo itaangalia merits tu kuteua ila kma Kamati kuu ndio ihusike biasness itahusika na watu watachaguliwa kishabiki kma ambavyo umesema wananchi huchagua kishabiki, hapo ni kujuana,urafiki n.k sababu sijaona namna ambayo kamati kuteua ni competent kuliko wakiamua wananchi.

Mfano je teuzi zote za Rais huwa perfect? Kweli Mwigulu alifaa kurudishwa uwaziri? Makonda alikua right person kubaki ofisini? Ama kina sabaya/Murro kuwa DC? Yaani kwanini unaamini maamuzi ya kamati kuu (obvious ya mwenyekiti) yapo competent kuliko ya wananchi ilihalu both are prone to make same mistakes?

Naomba uliweke sawa hili
 
Back
Top Bottom