Kwan akiteua serikalini ana kosa?Anayeteua serikalini ni mwingine?
Vvyama vya Upinzania vikifa , demokrasia ya ccm itakufa ...na madhara ya demokrasia ccm kufa ....na wanaoojiona hawasikilizwi hawana pa kusemea ...ni kuzalisha uasi wa kimya kimya kwa kushirikiana na walio nje ya chama ....na kuzalisha MAPINDUZIMaandishi yamewekwa ukutani kila mmoja kusoma na kuelewa. Kura za maoni siyo kitu; uamuzi wa mmwisho ni wa mwenyekiti wa chama na wala siyo vikao. Ingawa kuna ukweli kwenye kauli, hatujazoea kuambiwa hivi hadharani. Siku zote tumeaminishwa kuwa kwenye chama cha siasa maamuzi hufanyika kwa vikao na kwa kutumia nguvu ya hoja. Nadhani kwa mtaji huu mtu hatakuwa amekosea akisema: "kwaheri demokrasia, kwaheri uhuru". Ndiyo kusema, kila anayetaka kugombea kupitia ccmsharti kwanza apime uhusiano wake na mwenyekiti. Na katika miaka hii mitano imeshabainika kuwa mwenyekiti anataka nini kutoka kwa mtu anayejinasibisha naye kiuongozi. Wanaotamani mfumo wa vyama vingi ufe wajitafakari upya; mbadala wake siyo chama dola kama ilivyokuwa huko nyuma. Badala yake tutapata kitu kingine ambacho hakijapata kushuhudiwa katika nchi hii.
Hatuzungumzii perfection, tunazungumzia complimentarism. Hakuna perfection.Mkuu unaweza kuwa na wazo zuri sasa huoni kamati kuu kuchagua watu inaweza rudia same mistakes au kwa theory yako ni kwamba anayechaguliwa na kamati kuu ni perfect kuliko na wananchi?
Yaani what if hao 3 wakateuliwa sababu tu ya mihemko ya mwenyekiti? Ama kipenzi na asiyekosoa sera za mwenyekiti bungeni? Kwanini hauoni risk kwa kamati kuchagua watu hovyo kuliko wakiachiwa wananchi??
Umejitahidi kujenga hoja yako vema,ila inasisimua na kuibua maswali mengi.Kama hautojali na bila mihemko uyajibu ili hoja yako iwe na mashiko.Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu.
Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi katika jamii yenye kiwango cha juu sana cha kujitambua, ustaarabu, kuweza kuchanganua mambo na kuamua kwa busara. Ikiwa jamii ina kiwango cha chini cha tabia tajwa hapo juu, kwa kadiri kiwango cha demokrasia na uhuru wa watu kinavyoongezeka, ndio hatari ya kutokea majanga inavyoongezeka na kinyume chake. Hili tutalifafanua zaidi baadae.
Kwa bahati mbaya ni kwamba Afrika bado tupo watu wengi sana/wapiga kura ambao uelewa wetu juu ya mambo na uwezo wetu wa kuchanganua vitu na kufanya maamuzi sahihi ni mdogo. Kwa mfano, % kubwa ya watanzania hatuelewi falsafa, itikadi, misingi na sera ya vyama achilia mbali kuzifuata. Jiulize mfano ukisema chama cha mrengo wa kushoto, mrengo wa kati kushoto, mrengo wa kulia ujamaa wa kidemokrasia na vitu kama hivyo, ni watanzania wangapi wanaelewa unasema nini?
Wapiga kura wengi Afrika amma hupiga kura bila kujua nini wanafanya, au baada ya kuchanganywa ‘Manipulations’ au kwa mihemko ‘emotions’au kwa ushabiki usiokuwa na sababu za kueleweka. Ili hili lieleweke vizuri, nitatoa mifano michache.
Moja, Ushawahi kuona bungeni kwa mfano, mtu anatoa hoja nzuri sana, lakini wajumbe wakiulizwa ‘Mnaikubali hiyo hoja’ wanasema ‘hapanaaaaaaaa’ lakini sio kwamba hawaitaki hoja, ni kwa sababu ya nani katoa hoja, kwa hiyo wajumbe wakishaona mtoa hoja washaikataa hoja tayari hawana haja hata ya kuielewa kwanza?
Mbili, Unajua tunaweza kwenda wote kwenye uchaguzi, wewe ni muadilifu na unahoja nzuri, mimi nikawa ni mjinga flani tu, ila nikasubiria masaa kadhaa kabla ya uchaguzi nikakuzushia kwamba wewe unauza meno ya tembo huku nimetumbua mimacho kweli kweli, na wapiga kura wakakukataa na kunikubali mimi, kisha baada ya uchaguzi (kukushinda), nikasema nilikuwa natania tu, sijawahi kuuona ukiuza meno?
Tatu, Unajua wapiga kura kwenye nchi za kiafrika wakipewa rushwa humchagua mtoa rushwa na kuacha watu wenye maono?
Nne, Unajua kwa mfano wewe ukipiga kampeni kwa kuongea mambo ya maana mwingine akawa anakatika, una uwezo wa kushindwa uchaguzi, na hata mzee wa mauno alishinda kimzaha hivyo hivyo? N.k
Kwa mantiki hiyo basi;
- Kwa sababu ya uelewa wa waafrika tuliowengi, demokrasia peke yake haiwezi kutusaidia kuwa na nchi zenye ustawi na uongozi bora bali inahitajika mfumo wa ziada kujazia demokrasia ‘Complementary system’
- Kwa kuwa wapiga kura wanaweza kupiga kura kwa kuvurugwa ‘Manipulation’ kura pekee hazituwezeshi kupata viongozi wa maana, Hivyo utaratibu uliowekwa na CCM kuchuja majina kwa kuzingatia vigezo vingine zaidi ya kupigiwa kura sio tu kwamba ni mzuri bali ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa na hatma ya nchi.
- Hoja ya Rais Magufuli kwamba watu ambao tayari wana vyeo vya kutumikia wananchi kama wakuu wa mikoa ni bora wasigombee ubunge, inaegemea kwenye mantiki zaidi kwa kuangalia ‘motive’ na inatokana na ‘complementary system iliyotajwa hapo juu kwa ajili ya maslahi ya Taifa
Kwa ujumla, mfumo huo wa kuwa na ‘control mechanism’ zaidi ya kura, haukinzani na demokrasia bali unajazia mapungufu ya demokrasia hivyo sio ‘Contradictory system’ kama baadhi ya wadau wanavyodhani bali ni ‘Complementary system’ na bila kufanya hivyo, tunaweza kukuta nchi nzima ina wabunge wa ajabu haijapata kutokea na kila mtu akabaki anashangaa ikiwemo wapiga kura wenyewe. Kwa hiyo wale wanaodhani mfumo huo ni kinyume na demokrasia, ni vizuri wakafahamu ‘dynamics’ hizi na kwa hili, tunaweza kusema CCM inachukua hatua zasahihi kabisa na zinazokubalika kitaam ku‘regulate’ hali ya mambo kwa maslahi ya taifa.
- Kwa kuwa tatizo la rushwa kwenye uchaguzi bado ni kubwa, kazi anayoifanya polepole kukemea rushwa na kuwatahadharisha watakaotoa rushwa kukatwa majina sio tu kwamba ni nzuri bali pia ni muhimu.
Mkuu tuna tatizo kubwa sana linalowakabili wengi na bila mechanism hiyo, itayokea mambo ya ajabu zaidi kuliko ambayo yamekuwa yakionekana. Na comment za wadau tu ni ushahidi tosha kama unavyosema.Ukitaka kuamini kuwa kilichoa dikwa kwenye bandiko ni kweli angalia comment hapa. Utajua upo ushabiki wa kindezi sana haufuati mantiki, sera , hoja bali aliyesema ni nani yuko upande gani
Mkuu kitu kimoja muhimu kwenye checks and balances ni uwiano wa uhuru na uwajibikaji yaani independence and accountability. Bunge lisipokua huru dhidi ya influence ya serikali kuu basi hakuna uwajibikaji. Sasa how do you guarantee independence kwenye kamati kuu ili isichague viongozi kwa biasness/mihemko ilihali mwenyekiti ana clash of interest na wagombea?Hatuzungumzii perfection, tunazungumzia complimentarism. Hakuna perfection.
Kwa mfano tunapozungumiza check and balance kwa mihimili ya dola, sio kwamba kuna mmoja ni perfect zaidi, bali tunazungumzia checks, vinginevyo ni hatari
Usiwaamshe,waacheni wararuane kwanza maana tutakuwa tunashughulika na majeruhi watakaoshinda mpambano.Vita ya Panzi...yaani hawa majamaa wamefikia pale alipotabiri nyerere kuwa mkimaliza wale mnaohisi si ndugu zenu kwenye mfano wa muungano baadaye mtahisi kumbe sisi si wamoja wengine hawafai ndo hii ya kukata majina.
mwanzoni walikuwa wanaungana dhidi ya cdm sasa wanahisi wamewamaliza cdm wamehamia ndani kilio hicho cha huko ndani haiwaachi salama mpaka watauana wenyewe na kuparanganyika.
ile nyumba ya kijani balaaa yake suburini inakuja kwa kasi kweli
CCM tumeamua kila mbunge wa nchii hii ni yule tutakaye amuaIjapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu.
Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi katika jamii yenye kiwango cha juu sana cha kujitambua, ustaarabu, kuweza kuchanganua mambo na kuamua kwa busara. Ikiwa jamii ina kiwango cha chini cha tabia tajwa hapo juu, kwa kadiri kiwango cha demokrasia na uhuru wa watu kinavyoongezeka, ndio hatari ya kutokea majanga inavyoongezeka na kinyume chake. Hili tutalifafanua zaidi baadae.
Kwa bahati mbaya ni kwamba Afrika bado tupo watu wengi sana/wapiga kura ambao uelewa wetu juu ya mambo na uwezo wetu wa kuchanganua vitu na kufanya maamuzi sahihi ni mdogo. Kwa mfano, % kubwa ya watanzania hatuelewi falsafa, itikadi, misingi na sera ya vyama achilia mbali kuzifuata. Jiulize mfano ukisema chama cha mrengo wa kushoto, mrengo wa kati kushoto, mrengo wa kulia ujamaa wa kidemokrasia na vitu kama hivyo, ni watanzania wangapi wanaelewa unasema nini?
Wapiga kura wengi Afrika amma hupiga kura bila kujua nini wanafanya, au baada ya kuchanganywa ‘Manipulations’ au kwa mihemko ‘emotions’au kwa ushabiki usiokuwa na sababu za kueleweka. Ili hili lieleweke vizuri, nitatoa mifano michache.
Moja, Ushawahi kuona bungeni kwa mfano, mtu anatoa hoja nzuri sana, lakini wajumbe wakiulizwa ‘Mnaikubali hiyo hoja’ wanasema ‘hapanaaaaaaaa’ lakini sio kwamba hawaitaki hoja, ni kwa sababu ya nani katoa hoja, kwa hiyo wajumbe wakishaona mtoa hoja washaikataa hoja tayari hawana haja hata ya kuielewa kwanza?
Mbili, Unajua tunaweza kwenda wote kwenye uchaguzi, wewe ni muadilifu na unahoja nzuri, mimi nikawa ni mjinga flani tu, ila nikasubiria masaa kadhaa kabla ya uchaguzi nikakuzushia kwamba wewe unauza meno ya tembo huku nimetumbua mimacho kweli kweli, na wapiga kura wakakukataa na kunikubali mimi, kisha baada ya uchaguzi (kukushinda), nikasema nilikuwa natania tu, sijawahi kuuona ukiuza meno?
Tatu, Unajua wapiga kura kwenye nchi za kiafrika wakipewa rushwa humchagua mtoa rushwa na kuacha watu wenye maono?
Nne, Unajua kwa mfano wewe ukipiga kampeni kwa kuongea mambo ya maana mwingine akawa anakatika, una uwezo wa kushindwa uchaguzi, na hata mzee wa mauno alishinda kimzaha hivyo hivyo? N.k
Kwa mantiki hiyo basi;
- Kwa sababu ya uelewa wa waafrika tuliowengi, demokrasia peke yake haiwezi kutusaidia kuwa na nchi zenye ustawi na uongozi bora bali inahitajika mfumo wa ziada kujazia demokrasia ‘Complementary system’
- Kwa kuwa wapiga kura wanaweza kupiga kura kwa kuvurugwa ‘Manipulation’ kura pekee hazituwezeshi kupata viongozi wa maana, Hivyo utaratibu uliowekwa na CCM kuchuja majina kwa kuzingatia vigezo vingine zaidi ya kupigiwa kura sio tu kwamba ni mzuri bali ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa na hatma ya nchi.
- Hoja ya Rais Magufuli kwamba watu ambao tayari wana vyeo vya kutumikia wananchi kama wakuu wa mikoa ni bora wasigombee ubunge, inaegemea kwenye mantiki zaidi kwa kuangalia ‘motive’ na inatokana na ‘complementary system iliyotajwa hapo juu kwa ajili ya maslahi ya Taifa
Kwa ujumla, mfumo huo wa kuwa na ‘control mechanism’ zaidi ya kura, haukinzani na demokrasia bali unajazia mapungufu ya demokrasia hivyo sio ‘Contradictory system’ kama baadhi ya wadau wanavyodhani bali ni ‘Complementary system’ na bila kufanya hivyo, tunaweza kukuta nchi nzima ina wabunge wa ajabu haijapata kutokea na kila mtu akabaki anashangaa ikiwemo wapiga kura wenyewe. Kwa hiyo wale wanaodhani mfumo huo ni kinyume na demokrasia, ni vizuri wakafahamu ‘dynamics’ hizi na kwa hili, tunaweza kusema CCM inachukua hatua zasahihi kabisa na zinazokubalika kitaam ku‘regulate’ hali ya mambo kwa maslahi ya taifa.
- Kwa kuwa tatizo la rushwa kwenye uchaguzi bado ni kubwa, kazi anayoifanya polepole kukemea rushwa na kuwatahadharisha watakaotoa rushwa kukatwa majina sio tu kwamba ni nzuri bali pia ni muhimu.
Unaposema independent body unakusudia nini mkuu? Kwa nini unadhani KK sio independent na hiyo independent body inatakiwa iweje ili iitwe independent?Mkuu kitu kimoja muhimu kwenye checks and balances ni uwiano wa uhuru na uwajibikaji yaani independence and accountability. Bunge lisipokua huru dhidi ya influence ya serikali kuu basi hakuna uwajibikaji. Sasa how do you guarantee independence kwenye kamati kuu ili isichague viongozi kwa biasness/mihemko ilihali mwenyekiti ana clash of interest na wagombea?
Nachotaka kufaham ndio hiko yaani why wananchi wakosee kuchagua ila sio kamati kuu?
Kwanini maamuzi yafanywe na kamati kuu na sio independent body?
Hapo liweke sawa
Umemaliza kila kitu mkuu, suluhisho la tatizo linaweza zaa tatizo kubwa zaidi unless mchakato ungehusisha kamati iliyo huru kabisa dhidi ya ushawishi wa viongozi wakuu wa chama ili kusiwepo upendeleo kwenye kupitisha majina.Hatari iliyo wazi ni complimentary system kutumika kukandamiza wasiopendwa na...
Mkuu umeshaonesha kuwa wananchi huwa wanapiga kura sababu ya ushabiki na manipulation sio VIGEZO!Unaposema independent body unakusudia nini mkuu? Kwa nini unadhani KK sio independent na hiyo independent body inatakiwa iweje ili iitwe independent?
Nani kasababisha?Tatizo limebuniwa ,kufanyiwa upembuzi yakinifu na kutekelezwa na hao hao mainjinia ambao sasa wanakata kata kila walikutalo.Maajabu ndiyo hayo,halafu kuna wanaoshangilia na kufuata mkumbo bila kuhoji.Mkuu tuna tatizo kubwa sana linalowakabili wengi na bila mechanism hiyo, itayokea mambo ya ajabu zaidi kuliko ambayo yamekuwa yakionekana. Na comment za wadau tu ni ushahidi tosha kama unavyosema.
Mkuu, in practice, hakuna namna unaweza kuunda kamati yoyote ndani ya chama cha siasa na viongozi wa chama husika wasiwe na ushawishi kwenye kamati hiyo. Ni sawa na kusema wazazi wazae mtoto halafu wasiwe na ushawishi kwa hiyo mtoto.Umemaliza kila kitu mkuu, suluhisho la tatizo linaweza zaa tatizo kubwa zaidi unless mchakato ungehusisha kamati iliyo huru kabisa dhidi ya ushawishi wa viongozi wakuu wa chama ili kusiwepo upendeleo kwenye kupitisha majina.
Je consultants wakinunuliwa au kupewa maagizo? Kumbuka kuna atakayewalipa consultants na huyo ndie atakayewaambia nini anataka. Kwa hiyo tunarudi pale pale.Mkuu umeshaonesha kuwa wananchi huwa wanapiga kura sababu ya ushabiki na manipulation sio VIGEZO!
Sasa KK itahakikisha vipi inapitisha watu kwa vigezo na sio mihemko ya wana kamati?
Independence maana yake mtu ambaye hana maslahi na watia nia kabisa mfano majina yakawa coded wakapewa independent consultancies kufanya background checks na viti kma hivyo, then wanapeleka majina kamati kuu yanapigiwa sign tu.
Ila kwa hali ya sasa obvious ukiwa sio kipenzi cha mwenyekiti au mwana KK huwezi pitishwa hta kma una vigezo kwahiyo tatizo ulilolikimbia kwa wananchi linajirudia KK.