zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Hapa mkuu unajicontradict.... Unasema jamii nzima ni corrupt meaning hata KK ipo corrupt so hakuna suluhisho ila tatizo litaendelea si ndio maana yake?Mkuu, in practice, hakuna namna unaweza kuunda kamati yoyote ndani ya chama cha siasa na viongozi wa chama husika wasiwe na ushawishi kwenye kamati hiyo. Ni sawa na kusema wazazi wazae mtoto halafu wasiwe na ushawishi kwa hiyo mtoto.
Kuhusu suala la je? Kama hao wachujaji na ni corrupt?
Ndio tunarudi kwenye tatizo la jamii sasa, kwamba kama jamii ni corrupt, na viongozi wanatokana na jamii, kurekebisha hali ya mambo inabidi kutegulate jamii "cause" na sio 'effect' na hili tumelifafanua sana kwenye mijadala ya peke yake.
Mkuu haya mambo mbona yalifanyika issue ya richmond na hakuna hongo ilitumika? Huwezi ukahonga kampuni kama E&Y kwa pesa za madafu hizi na wao wapoteze credibility yao duniani ni ngumu sana.Je consultants wakinunuliwa au kupewa maagizo? Kumbuka kuna atakayewalipa consultants na huyo ndie atakayewaambia nini anataka. Kwa hiyo tunarudi pale pale.
Hapa mkuu unajicontradict.... Unasema jamii nzima ni corrupt meaning hata KK ipo corrupt so hakuna suluhisho ila tatizo litaendelea si ndio maana yake?
Kuhusu kamati nimesema independent na wana code majina mfano Exxon Mobil ile kampuni kubwa ya uchimbaji mafuta na gesi ikisaka senior managers wa vitengo nyeti ilitumia CIA sababu itakua neutral/HURU kuleta watu iliowachambua nao kuona wapo safi na mafaili yanaletwa so anaingia mfanyakazi asiekuja kwa upendeleo bali sifa zake!!
Sasa kwa CCM mchakato haupo huru sababu bado KK itapitisha wale tu ambao wanakubalika na mwenyekiti sio vinginevyo. Kwahiyo tatizo la mihemko ya wananchi kuchagua linakua halina ufumbuzi zaidi ya kuongeza tatizo jipya la KUJUANA!!
Mkuu, unatoa mfano wa kampuni ya financial audit? Kumbuka kwenye ukaguzi na ushauri wa fedha kuna fomula ambazo ziko clear! Siasa ni suala nyeti na comlicated kidogo. Sio kama hesabu 1+1= 2.Mkuu haya mambo mbona yalifanyika issue ya richmond na hakuna hongo ilitumika? Huwezi ukahonga kampuni kama E&Y kwa pesa za madafu hizi na wao wapoteze credibility yao duniani ni ngumu sana.
Kwahiyo kuanzia ubunge mtaletewa majina matatu ambayo kweli yamechujwa trust me unaweza kuta hta baraza zima la mawaziri lisirudi!! Ila hii ya KK ni yaleyale tu mtachagua kulingana na matakwa ya mwenyekiti.
Kwahiyo bado hii complementary system haisolve tatizo la uninformed voting ya sisi raia.
1. Mkuu kwanza nina wasiwasi kama kweli unafuatilia siasa za nchi hii. Hata CCM ilikua na consultant uchaguzi wa 2010 nakumbuka ukatoa hadi projections za majimbo yatakayoanguka na muelekeo wa kura za Kikwete kuwa chini ya 60%. So consultants huwa wapo ila ripoti zao kufanyiwa kazi ni kitu Kingine ila sio kitu kigeni.Mkuu, sisemi watu wote ni corrupt, bali nibachosema viongozi kwenye vyama ni reflexion ya jamii. Humo wapo watu wazuri na wabaya. Kuhusu mfano wa kampuni, chama cha siasa na kampuni ni vitu tofauti kabisa. Hakuna namna kwenye chama cha siasa vitafanyika vitu kwenye level za chini bila ridhaa au ushawishi wa viongozi wa juu, na huwezi kusema viongozi wa juu hawaaminiki na viongozi wa chini, anayeaminika ni kampuni zilizo nje ya chama? Hakuna kitu kama hicho, hata kama ni consultation li lazima zimanyike ndani ya vyama husika.
Na kwa taarifa yako ukitumika utaratibu unaofikiri wewe ndio zitaibuka lawama Zaidi kwamba uchambuzi umefanywa na mamluki. Kwa hiyo ni sahihi tu mfumo uliowekwa. Ndio ambao ni 'relatively fair'
Sasa Ilani ya CCM inapoandikwa na academicians wa kutoka bara zima na nje huwa sio kampuni ila kupendekeza wagombea ndio inakua kampuni?Mkuu, unatoa mfano wa kampuni ya financial audit? Kumbuka kwenye ukaguzi na ushauri wa fedha kuna fomula ambazo ziko clear! Siasa ni suala nyeti na comlicated kidogo. Sio kama hesabu 1+1= 2.
Ingekuwa ni hivyo tungeikabidhi nchi kwa kampuni moja ya kichina kama vile Huawei, halafu tunawapa miaka 10 nchi iwe na maendeleo kila mahali hahahahahahhha
Suala la siasa ni complicated mkuu, sio kama kampuni ambayo iko straight foward!
Ukishajua mambo haya yanayoathiri tabia za wapiga kura wa Afrika na mienendo ya wagombea utaelewa ni kwa nini hii 'complementary system' sio tu nzuri bali muhimu sana.
Vinginevyo ni sawa na kugawa bastola kwa kila mwanakijiji kwa hoja kwamba kila mtu ana uhuru, haki ya kumiliki mali na kujilinda. Licha ya kwamba hoja hizo ni za kweli; kwa jamii isiyokuwa na ustaarabu na kujitambua kwa hali ya juu itabuka balaa isiyo ya kawaida. Hiyo haitajalisha sheria zilizopo,kwani ikitokewa watu wengi wakiwa na matatizo, sheria pia haziwezi kusaidia sana.