Pre GE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

Pre GE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitu ninachokiamini kuwa hakuna utawala utao dumu milele so either ni 2025 or ten years after ila ccm hawatoboi miaka 20 ijayo naomba mungu aniweke
 
Naomba mnistue watakapoanza kujadili mambo mawili tu.
1.Kuondoa kinga za kutohoji matokeo ya uchaguzi wa Raisi mahakanani
2.Adhabu atakayopewa mtu yeyote anayevuruga uchaguzi. Kwa namna yoyote kama kuiba kura,udanganyifu n.k
Kwa Sasa bora nifuatilie habari za AFCON tu.
.
 
Back
Top Bottom