CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

Umeamua kutuvuruga tu hapa naona
 
Mbowe ndiyo alikuwa Mwenyekiti wa bunge la Katiba?
Mbowe alichofanya ni kuvuruga nje ya bunge la katiba huku mchakato unaenda wao wanatisha migomo ya madaktari watu wanakufa kama kuku mahosputalini,migomo mabasi nk

Environment kama hiyo ulitarajia katiba mpya itoke? Ndio maana sababu wabunge wengi walikuwa CCM wakaona isiwe shida nini kwa jino pendekezwa ya warioba ikatupiliwa mbali sababu ya vituko Chadema walifanya wakati mchakato wa katiba mpya uko vizuri

Nadhani Walau kidogoo Chadema wametulia yaweza ipatikane katiba mpya lakini sio kwa environment ile Chadema walitengeneza.
 
Inahitaji akili kukubali kama hiki kinawenda kutokea kweli, ila kama ni kweli pongezi kwake
 
Awa ni wahuni tu kama wana nia kwanini wasubiri budget ipite? Ata Kikwete alitumia gia iyo ili amalize muda wake.
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Mama anaupiga mwingi Sana Kila kukicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish
 
Awa ni wahuni tu kama wana nia kwanini wasubiri budget ipite? Ata Kikwete alitumia gia iyo ili amalize muda wake.
Bajeti hujadiliwa na kupitishwa kila baada ya mwaka mmoja, kuna uhusiano gani kati ya bajeti na hoja iliyopo mezani, au wewe unadhani ni lazima ipitishwe kwenye mwaka ujao wa fedha?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…