Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kutuvuruga tu hapa naonaMbowe alivuruga mchakato kipindi cha Kikwete
Kikwete alikuwa na nia nzuri kabisa kwenye issue ya katiba
Sasa kipindi kikiwa Critical cha kutafuta katiba mpya Chadema wakaanzisha vurugu za kutaka nchi isitawalike
Wakihamasisha maandamani,migomo ya sekta muhimu kama walimu ,madaktari ,delta za usafirishaji no
Katika vya vya wajinga duniani Chadema inaongoza .Nchi zote za vyama vya upinzani vinavyojitambua hujikita agenda kuu moja basi.Walitaka katiba mpya ok Kikwete akasema hamna shida vipate.kuona wameshinda hiyo hoja Chadema hawakutulia kuwa tutulie upate katiba kama Kenya walivyotulia na nchi kibao.Wao wakaanza vurugu nchi isitawalike ndipo.CCM ikaona wajinga hawa ndio ikamleta Magufuli akawanyoosha barabara na katiba mpya akaitupa huko kwenye shelf
Swali CCM imeridhia katiba mpya ipatikane mtatulia au mtaluanzisha ili mlazimishe CCM imlete Magufu6 mwingine 2025?
Kwa nini hakutulia kipindi cha Kikwete mkampa hard time wakati yuko kwenye mchakato wa kuleta katiba mpya?
Sasa walau Chadema mba utulivu.Katiba mpya huhitaji utulivu sio vurugu
Kwa utulivu huu wa sasa itapatikana Chadema msihofu inakuja
Mbowe alichofanya ni kuvuruga nje ya bunge la katiba huku mchakato unaenda wao wanatisha migomo ya madaktari watu wanakufa kama kuku mahosputalini,migomo mabasi nkMbowe ndiyo alikuwa Mwenyekiti wa bunge la Katiba?
Awa ni wahuni tu kama wana nia kwanini wasubiri budget ipite? Ata Kikwete alitumia gia iyo ili amalize muda wake.Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"
Rais Magufuli alisema wazi kuwa hategemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, na akasisitiza kuwa hata kama kuna mtu (Wahisani) wako tayari kuipa Tanzania fedha kwa ajili ya mchakato wa Katiba basi pesa hizo zitolewe zikajenge Reli.
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Hayati Dkt Magufuli ambapo ni dhahiri kuwa aliamini Katiba sio mwarubaini wa kila kitu
Miaka takribani Minne baadae, mwaka 2022, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kila jitihada kurejesha hali ya utengamano wa Kitaifa. Amekutana na makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani ambao wengine walikimbia nchi na wengine walikuwa gerezani
Kubwa zaidi ni utayari wake wa kuruhusu mawanda ya kidemokrasia kuendelea kutanuka pamoja na Serikali na Chama chake CCM kuweka wazi kuwa milango ya mchakato wa kupata Katiba Mpya iko wazi hivyo kwa sasa itafutwe namna bora ya kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ambao ulianza mwaka 2011 na kukwama mwaka 2014
Pamoja na mengi lakini kwa hili Rais Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwani ni wazi angeweza kuwa na maamuzi kama ya mtangulizi wake lakini yeye ameamua kuruhusu kuanza kwa mchakato huu muhimu kwa Taifa na ni matumaini yetu, Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu, itatupatia Katiba Mpya Watanznia.
Mungu Ibariki Tanzania.
View attachment 2269674
mpaka watu wameenda jela sababu ya hii kituLakini pia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kiukweli na wenyewe wamejitahidi sana kusimama kwa niaba ya Watanzania wanaotaka uwepo wa Katiba Mpya.
Mkuu si kwa nchi yetuKila jamii ina TOMASO wake
Mama anaupiga mwingi Sana Kila kukichaWakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"
Rais Magufuli alisema wazi kuwa hategemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, na akasisitiza kuwa hata kama kuna mtu (Wahisani) wako tayari kuipa Tanzania fedha kwa ajili ya mchakato wa Katiba basi pesa hizo zitolewe zikajenge Reli.
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Hayati Dkt Magufuli ambapo ni dhahiri kuwa aliamini Katiba sio mwarubaini wa kila kitu
Miaka takribani Minne baadae, mwaka 2022, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kila jitihada kurejesha hali ya utengamano wa Kitaifa. Amekutana na makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani ambao wengine walikimbia nchi na wengine walikuwa gerezani
Kubwa zaidi ni utayari wake wa kuruhusu mawanda ya kidemokrasia kuendelea kutanuka pamoja na Serikali na Chama chake CCM kuweka wazi kuwa milango ya mchakato wa kupata Katiba Mpya iko wazi hivyo kwa sasa itafutwe namna bora ya kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ambao ulianza mwaka 2011 na kukwama mwaka 2014
Pamoja na mengi lakini kwa hili Rais Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwani ni wazi angeweza kuwa na maamuzi kama ya mtangulizi wake lakini yeye ameamua kuruhusu kuanza kwa mchakato huu muhimu kwa Taifa na ni matumaini yetu, Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu, itatupatia Katiba Mpya Watanznia.
Mungu Ibariki Tanzania.
View attachment 2269674
RubbishMbowe alichofanya ni kuvuruga nje ya bunge la katiba huku mchakato unaenda wao wanatisha migomo ya madaktari watu wanakufa kama kuku mahosputalini,migomo mabasi nk
Environment kama hiyo ulitarajia katiba mpya itoke? Ndio maana sababu wabunge wengi walikuwa CCM wakaona isiwe shida nini kwa jino pendekezwa ya warioba ikatupiliwa mbali sababu ya vituko Chadema walifanya wakati mchakato wa katiba mpya uko vizuri
Nadhani Walau kidogoo Chadema wametulia yaweza ipatikane katiba mpya lakini sio kwa environment ile Chadema walitengeneza.
Vitu vya kijinga snMaajabu haya
Lazima tujue tunataka katiba ya namna ganiHili hata wengi wanaopiga kelele hawana jibu
Bajeti hujadiliwa na kupitishwa kila baada ya mwaka mmoja, kuna uhusiano gani kati ya bajeti na hoja iliyopo mezani, au wewe unadhani ni lazima ipitishwe kwenye mwaka ujao wa fedha?Awa ni wahuni tu kama wana nia kwanini wasubiri budget ipite? Ata Kikwete alitumia gia iyo ili amalize muda wake.
Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"
Rais Magufuli alisema wazi kuwa hategemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, na akasisitiza kuwa hata kama kuna mtu (Wahisani) wako tayari kuipa Tanzania fedha kwa ajili ya mchakato wa Katiba basi pesa hizo zitolewe zikajenge Reli.
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Hayati Dkt Magufuli ambapo ni dhahiri kuwa aliamini Katiba sio mwarubaini wa kila kitu
Miaka takribani Minne baadae, mwaka 2022, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kila jitihada kurejesha hali ya utengamano wa Kitaifa. Amekutana na makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani ambao wengine walikimbia nchi na wengine walikuwa gerezani
Kubwa zaidi ni utayari wake wa kuruhusu mawanda ya kidemokrasia kuendelea kutanuka pamoja na Serikali na Chama chake CCM kuweka wazi kuwa milango ya mchakato wa kupata Katiba Mpya iko wazi hivyo kwa sasa itafutwe namna bora ya kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ambao ulianza mwaka 2011 na kukwama mwaka 2014
Pamoja na mengi lakini kwa hili Rais Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwani ni wazi angeweza kuwa na maamuzi kama ya mtangulizi wake lakini yeye ameamua kuruhusu kuanza kwa mchakato huu muhimu kwa Taifa na ni matumaini yetu, Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu, itatupatia Katiba Mpya Watanznia.
Mungu Ibariki Tanzania.
View attachment 2269674CCM hatutaki the so called katiba, mnataka uhuru wa kisiasa na tume ili MBOWE awe raisi? never!