Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu!
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo habari unasema amekwenda kusikiliza kero na siyo kula nyama Kama unavyotaka kufanya upotoshaji hapa, ndugu Shaka Ni kiongozi wa watu ndio maana ameamua kuwatembelea wananchi wannyonge ili kusikiliza kero zaoTunapenda kuendekeza anasa kwa kula kula tu hovyo hovyo hadharani wakati Kuna hali ngumu ya maisha na uchumi na mfumuko wa bei. Hii haileti picha na mfano mzuri kwa walala hoi wengi ambao hata mlo Moja kwa siku kwao ni ngumu. Acheni hizi sarakasi Mara Moja.
Mtu kafika kusikiliza kero akapewa kwa ukarimu Jamaa anapata makasirikoo. Sasa alitaka azikatae? Shaka kapiga ziara vijijini wao wao spesiii wanadanganyanaElewa
Hiyo habari unasema amekwenda kusikiliza kero na siyo kula nyama Kama unavyotaka kufanya upotoshaji hapa, ndugu Shaka Ni kiongozi wa watu ndio maana ameamua kuwatembelea wananchi wannyonge ili kusikiliza kero zao
Mtu kafika kusikiliza kero akapewa kwa ukarimu Jamaa anapata makasirikoo. Sasa alitaka azikatae? Shaka kapiga ziara vijijini wao wao spesiii wanadanganyana
Lipa Kodi, Jenga Nchi yakoVyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
Kodi ina taratibu zake Mzee; kama kodi nalipa sana. Huo wizi mnaofanya hadi kwenye akiba za wananchi nao ni kodi?Lipa Kodi, Jenga Nchi yako
Waache waendelee kuzubaa tu wakati CCM Inaendelea kutatua kero za wananchi na kutoa majawabu kwa maswali ya wananchi, CCM itaendeleaa kuwa chama kiongozi na tumaini la watanzaniaMtu kafika kusikiliza kero akapewa kwa ukarimu Jamaa anapata makasirikoo. Sasa alitaka azikatae? Shaka kapiga ziara vijijini wao wao spesiii wanadanganyana
Raha sana,na raha tena.Wanajua hamna kitu mtawafanya mijitu kesho itaamka na mada ya simba na Yanga hawatajadili mustakabali wa nchi yetu inapoelekea,hii nchi tumejaliwa kuwa na wapumbavu mpaka raha yaani
Kipanya hapo anakunya Nini?
CCM NA SA100 NI MAFIII KABISA ...SHIT HOLE[emoji90][emoji90]Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu!
View attachment 2329688[emoji116]
Anapata choo🤣Kipanya hapo anakunya Nini?
Waache waendelee kuzubaa tu wakati CCM Inaendelea kutatua kero za wananchi na kutoa majawabu kwa maswali ya wananchi, CCM itaendeleaa kuwa chama kiongozi na tumaini la watanzania
We jamaa hujui kuwa mwanakulitafuta mwanakulipata?Ulitakiwa uwasogezee Kangara Moja mie ningelipaa🤔Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu!
View attachment 2329688👇