mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Wapinzani wakijaribu kufikia watu mara moja vyombo vya dola vinaagizwa kuwakamata kuwa sio muda wa siasa bali kujenga nchi.CCM inawafikia wananchi kwa vitendo, makamanda mko twiraa na instaa mnapambana. Ikulu mtaisikia tuu 😁😁