CCM, kula nyama choma sio kutatua kero za wananchi!

Tunapenda kuendekeza anasa kwa kula kula tu hovyo hovyo hadharani wakati Kuna hali ngumu ya maisha na uchumi na mfumuko wa bei.

Hii haileti picha na mfano mzuri kwa walala hoi wengi ambao hata mlo Moja kwa siku kwao ni ngumu. Acheni hizi sarakasi Mara Moja.
 
Natamani niende huko Burundi sijui tu naanzia wapi? Bora nikanyonywe na warundi kuliko my own kin
 
CCM inawafikia wananchi kwa vitendo, makamanda mko twiraa na instaa mnapambana. Ikulu mtaisikia tuu 😁😁
 
Elewa
Hiyo habari unasema amekwenda kusikiliza kero na siyo kula nyama Kama unavyotaka kufanya upotoshaji hapa, ndugu Shaka Ni kiongozi wa watu ndio maana ameamua kuwatembelea wananchi wannyonge ili kusikiliza kero zao
 
Mtu kafika kusikiliza kero akapewa kwa ukarimu Jamaa anapata makasirikoo. Sasa alitaka azikatae? Shaka kapiga ziara vijijini wao wao spesiii wanadanganyana
 
Vyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie
 
Lipa Kodi, Jenga Nchi yako
 
Mtu kafika kusikiliza kero akapewa kwa ukarimu Jamaa anapata makasirikoo. Sasa alitaka azikatae? Shaka kapiga ziara vijijini wao wao spesiii wanadanganyana
Waache waendelee kuzubaa tu wakati CCM Inaendelea kutatua kero za wananchi na kutoa majawabu kwa maswali ya wananchi, CCM itaendeleaa kuwa chama kiongozi na tumaini la watanzania
 
Wanajua hamna kitu mtawafanya mijitu kesho itaamka na mada ya simba na Yanga hawatajadili mustakabali wa nchi yetu inapoelekea,hii nchi tumejaliwa kuwa na wapumbavu mpaka raha yaani
Raha sana,na raha tena.
Mazwazwa watu wa kupigwa tu shoto kulia.
Acha tozo ziwashtue kidogo ndio mwigulu anapowaweza.
Wakimaliza kujazana huko simba na yanga.
Wakiamka tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…