M mwakijembe JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 1,664 Reaction score 2,324 Aug 21, 2022 #21 Mpekuzi Tanzania said: CCM inawafikia wananchi kwa vitendo, makamanda mko twiraa na instaa mnapambana. Ikulu mtaisikia tuu ππ Click to expand... Wapinzani wakijaribu kufikia watu mara moja vyombo vya dola vinaagizwa kuwakamata kuwa sio muda wa siasa bali kujenga nchi.
Mpekuzi Tanzania said: CCM inawafikia wananchi kwa vitendo, makamanda mko twiraa na instaa mnapambana. Ikulu mtaisikia tuu ππ Click to expand... Wapinzani wakijaribu kufikia watu mara moja vyombo vya dola vinaagizwa kuwakamata kuwa sio muda wa siasa bali kujenga nchi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 21, 2022 #22 Kuna mambo yanafurahisha sana...