CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

Yule afande Awadh ndie mumfundishe kuziishi 4R, kisha mumkumbushe na Samia aanze kuzifuata kwa vitendo.
Afande Awadh yupi ndugu yangu. Mbona upo na hasira sana, unaichukia CCM au Tundu Lissu?
 
Hapa Luca na Tlaaatlah watakuelewa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…