CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Kama unapata hasira kiasi cha kutaka kuua mtu kwa sababu tu mtu kakushauri usichokipenda basi una matatizo. Ndio maana nilisema mkiwapa watu kiki na mambo yakaingia kwenye mitandao, wote mtapata maumivu.

Naona niachie hapo.

Amandla....
Kakojoe ulale wewe.
 
Hebu kasome tena nilichoandika. Au vizuri zaidi, omba mtu akusomee utakapokuwa umetulia.

Matusi kwenye mitandao hayana tija. Sijakutukana. Sijamtukana Aziza. Na sijamtukana Catherine. Heshima ni kitu cha bure.

Amandla. ..
 
Thank u mkuu. Yaan wanampa title kahaba as if ni mke
 
Hebu kasome tena nilichoandika. Au vizuri zaidi, omba mtu akusomee utakapokuwa umetulia.

Matusi kwenye mitandao hayana tija. Sijakutukana. Sijamtukana Aziza. Na sijamtukana Catherine. Heshima ni kitu cha bure.

Amandla. ..
[emoji112][emoji112]
 
Hujui chochote, unalazimisha kumtetea Catherine Magige kwa mambo ya kipumbavu.

Ndoa ni taasisi ya kiimani, kisheria na kijamii. Aziza ndio mjane wa marehemu, anayo haki ni vipi mumewe azikwe. Suala la mazishi ni suala la kifamilia, huwezi kuwaamulia nani aweke shada la maua kwenye kaburi la marehemu. Wenye familia ndio wanaamua. Magige hakupewa hiyo nafasi, amekwenda kuvamia taratibu za mazishi ya watu. Ni uhuni wa kiwango cha juu sana.

Haijarishi marehemu alikuwa na malaya wangapi, lakini imani yake, sheria na jamii ilikuwa inamtambua kuwa ana mke mmoja tu wa ndoa, ambaye ni Aziza. Magige anakiri alikuwa mchepuko (kahaba) wa marehemu. Sasa michepuko inavamia hadi makaburini!!!
 

Msibani kuna mwaliko kama harusini ebo!!!!! Wachukuliwe hatua kwanza waliomzuia kuingia msibani na kutupa shada lake la maua. Unamzuiaje msibani mtu aliyekuwa akilala na marehemu kitanda kimoja kisa hana kijikaratasi wkt marehemu mwenyewe anamtambua.!!!! Ebo!!! Wanawake mkiachwa achikeni mapenzi hayalazimishwi kisa umezaa na mwanaume na una cheti cha Padiri!!!! Ukiwa mjeuri utaachwa tu au utaongezewa mke mwenzako, na polygamy is part and parcel of our culture, wivu kwa mke mwenza hadi msibani siyo ustaarabu.
 
ccm wako busy kushughulika na mambo ya kishenzi shenzi tu huku waziri wao wa pesa akitumbua pesa zetu na watumishi wenzake wa wizara.

Hii nchi Mungu atushike mkono tena
 
Huyu mjinga analipwa 12,000,000 kwa mwezi na posho ya 340,000 ajili ya kugombea waume za watu? jinga kabisa hivi viti maalum vifutwe kutwa wanatafuta mabwana za watu.
Ndiyo type ya wabunge aliokuwa anawataka Ndugai na mwendazao.

Just numbers
 
Catherine amefiwa na nani.....??
 
Msituletee mila za mashoga hapa, wenye kudai wana ndoa za mke mmoja ndoa zimewashinda wanaoana jinsia moja sasa na kulawiti hadi watoto. Sisi ni waafrika na mila zetu polygamy ni sehemu ya utamaduni wetu. Wivu wa uke wenza hadi makaburini!! ndoa ilishakufa hiyo mke halali my foot!! Marehemu aliishi na huyo Magige ni ujinga kumzuia kuingia msibani.
 
Mkuu mkifanya mtakuwa mmefanya jambo la maana sana.......Mungu AWABARIKI katika hili......
 
Cath naona umekuja kujitetea kwa fekero
Sijasema Catherine atapewa urithi. Nilichosema ni kuwa kuweka kwake shada hakumfanyi awe mrithi. Mmempa kiki ya bure tu kwa vitendo vyenu. Kiki ambayo kiukweli hastahili.

Amandla...

 

We fala kweli [emoji38][emoji38][emoji38] hivi ulichoandika ulikua mzima!
 
Ila ndg wa mume nao wabaya sana! ukiona Mchepuko una nguvu na jeuri basi ujuwe ndg wa Mume nao wanamtambuwa Kama mke wa ndg yao!!
 
Ma hawara wa mwendazake wastaarabu sana, walimuacha mama J asimamie shoo mwanzo mwisho.
Walikuwa kimyaa wanagugumia maumivu ndani kwa ndani, kama wangevamia msiba pasingetosha maana wanajaza basi zima.

Carth angekausha tu .. maana wale watu hawakuwa na talaka ya kisheria. Hilo linamnyima uhalali wa kumzika yule mwanaume aliyekufa.

Yote kwa yote inaonyesha kuna mambo mengi zaidi ya huu msiba.watajuana wenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…