CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Kama unapata hasira kiasi cha kutaka kuua mtu kwa sababu tu mtu kakushauri usichokipenda basi una matatizo. Ndio maana nilisema mkiwapa watu kiki na mambo yakaingia kwenye mitandao, wote mtapata maumivu.

Naona niachie hapo.

Amandla....
Kakojoe ulale wewe.
 
Ngoja kwanza. Wewe ni mojawapo ya makahaba, chawa wa kahaba, malaya wa mjini ama mduguye na kahaba? Na atabadilishiwaje umiliki kwa mali za mume na mke walizochuma pamoja? Na hapo ndo atalapofurahishwa zaidi. Yaani kwa usalama wake ajisalimishe mapema tu. Si tumewaona kina klyn na kamata? Basi ajiandae. Kinachofurahisha zaidi ni kahaba hata sj mke wala nn. Ngojea utaona shoo
Hebu kasome tena nilichoandika. Au vizuri zaidi, omba mtu akusomee utakapokuwa umetulia.

Matusi kwenye mitandao hayana tija. Sijakutukana. Sijamtukana Aziza. Na sijamtukana Catherine. Heshima ni kitu cha bure.

Amandla. ..
 
Hapana, unakosea kumlinganisha Jackline ambaye aliolewa kihalali na Mengi. Sheria, Kanisa, Jamii na Familia vilikuwa vinamtambua Jackline kama mke halali na sasa ni mjane halali wa Mengi.

Shida imekuja kujitokeza kwenye wosia wa kurithi mali za Mengi, na hilo ni suala la kisheria kwa 100%, sio mambo ya kihuni yaliyofanywa na huyo kahaba anayeitwa Catherine Magige.
Thank u mkuu. Yaan wanampa title kahaba as if ni mke
 
Hebu kasome tena nilichoandika. Au vizuri zaidi, omba mtu akusomee utakapokuwa umetulia.

Matusi kwenye mitandao hayana tija. Sijakutukana. Sijamtukana Aziza. Na sijamtukana Catherine. Heshima ni kitu cha bure.

Amandla. ..
[emoji112][emoji112]
 
Kumuita majina yote hayo hakusaidii kitu. Mwanaume ndio alimpenda na akalala nae. Hayo ya kanisa katoliki ni ya imani. Kuna tatizo gani yeye kuweka shada? Kunampunguzia nini Aziza? Au mnadhani kwa sababu kawwka shada ndio kutampa uhalali wa kudai urithi. Aziza kwa kufanya aliofanya ameonesha tu kuwa nae mshari. Asingefanya hivyo, angebaki na heshima yake na huyo nyumba ndogo ndie angeonekana mkorofi. Alitakiwa aonyeshe ukomavu wake lakini inaelekea ameshindwa. Sasa siku ya majonzi imegeuzwa ya kituko.

Amandla. .
Hujui chochote, unalazimisha kumtetea Catherine Magige kwa mambo ya kipumbavu.

Ndoa ni taasisi ya kiimani, kisheria na kijamii. Aziza ndio mjane wa marehemu, anayo haki ni vipi mumewe azikwe. Suala la mazishi ni suala la kifamilia, huwezi kuwaamulia nani aweke shada la maua kwenye kaburi la marehemu. Wenye familia ndio wanaamua. Magige hakupewa hiyo nafasi, amekwenda kuvamia taratibu za mazishi ya watu. Ni uhuni wa kiwango cha juu sana.

Haijarishi marehemu alikuwa na malaya wangapi, lakini imani yake, sheria na jamii ilikuwa inamtambua kuwa ana mke mmoja tu wa ndoa, ambaye ni Aziza. Magige anakiri alikuwa mchepuko (kahaba) wa marehemu. Sasa michepuko inavamia hadi makaburini!!!
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige. Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto. Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu. "Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo. PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.

Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto.

Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

"Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo.

PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini
Msibani kuna mwaliko kama harusini ebo!!!!! Wachukuliwe hatua kwanza waliomzuia kuingia msibani na kutupa shada lake la maua. Unamzuiaje msibani mtu aliyekuwa akilala na marehemu kitanda kimoja kisa hana kijikaratasi wkt marehemu mwenyewe anamtambua.!!!! Ebo!!! Wanawake mkiachwa achikeni mapenzi hayalazimishwi kisa umezaa na mwanaume na una cheti cha Padiri!!!! Ukiwa mjeuri utaachwa tu au utaongezewa mke mwenzako, na polygamy is part and parcel of our culture, wivu kwa mke mwenza hadi msibani siyo ustaarabu.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.

Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto.

Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

"Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo.

PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini
ccm wako busy kushughulika na mambo ya kishenzi shenzi tu huku waziri wao wa pesa akitumbua pesa zetu na watumishi wenzake wa wizara.

Hii nchi Mungu atushike mkono tena
 
Huyu mjinga analipwa 12,000,000 kwa mwezi na posho ya 340,000 ajili ya kugombea waume za watu? jinga kabisa hivi viti maalum vifutwe kutwa wanatafuta mabwana za watu.
Ndiyo type ya wabunge aliokuwa anawataka Ndugai na mwendazao.

Just numbers
 
Huyu Shaka na CCM wameonyesha udhaifu mkubwa japo wanaweza kudhani wamefanya jambo la maana. Catherine ni mfiwa na kilichotokea kilipaswa kulaaniwa. Kwanini azuiwe kumzika 'mtu wake? Hapa CCM walitakiwa wakae kimya kwa kuwa wanataka kuingilia maisha binafsi ya Catherine. At this juncture huwezi kum label Catherine kuwa ni mvamizi! msiba hauna mvamizi...
Catherine amefiwa na nani.....??
 
Hujui chochote, unalazimisha kumtetea Catherine Magige kwa mambo ya kipumbavu.

Ndoa ni taasisi ya kiimani, kisheria na kijamii. Aziza ndio mjane wa marehemu, anayo haki ni vipi mumewe azikwe. Suala la mazishi ni suala la kifamilia, huwezi kuwaamulia nani aweke shada la maua kwenye kaburi la marehemu. Wenye familia ndio wanaamua. Magige hakupewa hiyo nafasi, amekwenda kuvamia taratibu za mazishi ya watu. Ni uhuni wa kiwango cha juu sana.

Haijarishi marehemu alikuwa na malaya wangapi, lakini imani yake, sheria na jamii ilikuwa inamtambua kuwa ana mke mmoja tu wa ndoa, ambaye ni Aziza. Magige anakiri alikuwa mchepuko (kahaba) wa marehemu. Sasa michepuko inavamia hadi makaburini!!!
Msituletee mila za mashoga hapa, wenye kudai wana ndoa za mke mmoja ndoa zimewashinda wanaoana jinsia moja sasa na kulawiti hadi watoto. Sisi ni waafrika na mila zetu polygamy ni sehemu ya utamaduni wetu. Wivu wa uke wenza hadi makaburini!! ndoa ilishakufa hiyo mke halali my foot!! Marehemu aliishi na huyo Magige ni ujinga kumzuia kuingia msibani.
 
Mwelezeee vizuri huyo. Maana inashangaza. Hata anveishi na huyo malaya kwa miaka kumi bado ni kahaba na hawara tu. Nashangaa miaka mitatu ameitoa wapi kwanza. Yet ndoa haijavunjwa. Mungu huwa ni mkali sana hasa kwa hawa malaya wa mjini. Sasa aendelee kubaki na hizo hati kimkute kitu. Na anapasqa kufunguliwa mashtaka kw akuinvade makazi binafsi ya familia za watu na kufanya uharibifu. Na hizo hati tunaenda kuchukua rb zimeibiwa halaf tukapige pection hapo kwake aseme kazitoa wapi. Akisema amepewa na marehemu atueleze ni sheria gani zinamrugusu kuwa na mali rena hatimiliki za mume wa mtu
Mkuu mkifanya mtakuwa mmefanya jambo la maana sana.......Mungu AWABARIKI katika hili......
 
Cath naona umekuja kujitetea kwa fekero
Sijasema Catherine atapewa urithi. Nilichosema ni kuwa kuweka kwake shada hakumfanyi awe mrithi. Mmempa kiki ya bure tu kwa vitendo vyenu. Kiki ambayo kiukweli hastahili.

Amandla...

Wakati mwingine mnasikitisha. Kwani Catherine kuwa na hati yenye jina la marehemu kutamsaidia nini? Hati iliyo kwa jina la marehemu kwake ni kama karatasi tu maana ni mali ya marehemu na itaingizwa kwenye mirathi yake ambako hana nafasi. Kazi ni kama marehemu aliibadilisha akamwandika Catherine. Hapo mtasumbuana. Ninacho washangaa ni kuwa sioni sababu ya nyinyi kuingia kwenye matope kushindana na Catherine. Mume wenu mmemzika basi mngeendelea na maisha. Kumtukana Catherine kwenye mitandao mnampa kiki ya bure na mwisho wa siku wote mtachafuka mbele ya jamii. Ni ushauri tu kutoka kwa mtu asiyewajua nyinyi wala Catherine.

Amandla....
 
Kumuita majina yote hayo hakusaidii kitu. Mwanaume ndio alimpenda na akalala nae. Hayo ya kanisa katoliki ni ya imani. Kuna tatizo gani yeye kuweka shada? Kunampunguzia nini Aziza? Au mnadhani kwa sababu kawwka shada ndio kutampa uhalali wa kudai urithi. Aziza kwa kufanya aliofanya ameonesha tu kuwa nae mshari. Asingefanya hivyo, angebaki na heshima yake na huyo nyumba ndogo ndie angeonekana mkorofi. Alitakiwa aonyeshe ukomavu wake lakini inaelekea ameshindwa. Sasa siku ya majonzi imegeuzwa ya kituko.

Amandla. .

We fala kweli [emoji38][emoji38][emoji38] hivi ulichoandika ulikua mzima!
 
Hujui chochote, unalazimisha kumtetea Catherine Magige kwa mambo ya kipumbavu.

Ndoa ni taasisi ya kiimani, kisheria na kijamii. Aziza ndio mjane wa marehemu, anayo haki ni vipi mumewe azikwe. Suala la mazishi ni suala la kifamilia, huwezi kuwaamulia nani aweke shada la maua kwenye kaburi la marehemu. Wenye familia ndio wanaamua. Magige hakupewa hiyo nafasi, amekwenda kuvamia taratibu za mazishi ya watu. Ni uhuni wa kiwango cha juu sana.

Haijarishi marehemu alikuwa na malaya wangapi, lakini imani yake, sheria na jamii ilikuwa inamtambua kuwa ana mke mmoja tu wa ndoa, ambaye ni Aziza. Magige anakiri alikuwa mchepuko (kahaba) wa marehemu. Sasa michepuko inavamia hadi makaburini!!!
Ila ndg wa mume nao wabaya sana! ukiona Mchepuko una nguvu na jeuri basi ujuwe ndg wa Mume nao wanamtambuwa Kama mke wa ndg yao!!
 
Ma hawara wa mwendazake wastaarabu sana, walimuacha mama J asimamie shoo mwanzo mwisho.
Walikuwa kimyaa wanagugumia maumivu ndani kwa ndani, kama wangevamia msiba pasingetosha maana wanajaza basi zima.

Carth angekausha tu .. maana wale watu hawakuwa na talaka ya kisheria. Hilo linamnyima uhalali wa kumzika yule mwanaume aliyekufa.

Yote kwa yote inaonyesha kuna mambo mengi zaidi ya huu msiba.watajuana wenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom