CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu


Kabisa!
 
Msiba mnazuia wengine kuhudhuria? Yaani mtu anazuiwa kwenda kuzika? Kha!
 
Sheria ya ndoa ya mwaka 1979 inampa mke au mume haki ya kuamua ni wapi mwenzi wake azikwe na nani awepo kwenye Mazishi. Caty alizidisha hakupaswa kulazimisha kwani ni hawara tu
 
Ni mvamizi Period!
 
Bora kwa hili aisee. Huyu bibi kizee alifikiri hagusiki. Mwanamke hana maadili mazuri kabisa huyu. Shangingi mkubwa. Yeye anawazaga wanaume tu saa zote. Hasa hao waume za watu. Hapo msibani alikuja na genge la watu, kutafuta shari na umwamba tu.
 
Ila ndg wa mume nao wabaya sana! ukiona Mchepuko una nguvu na jeuri basi ujuwe ndg wa Mume nao wanamtambuwa Kama mke wa ndg yao!!

Ndugu wa mume wote walisimama na mke. Na ndio maana msiba ulifanyika kirahisi kwa mke. Yani huyo bibi alikuwa peke yake na genge la wahuni wenzie.
 
Wasisaahau pia mbunge wa arusha mjini , wa kuchaguliwa na wananchi alikuwa na yeye kwenye mdundiko wa kugombea BWANA ....safaari hii wananchi wa arusha wamepatikaana na mcheza vigodoro ..wanaume wa arusha ..oyeee
 
We makalio nn? Wewe aliyekusema ma ndoa za wake 72 peponi hapa nani? Hao wanne wenyewe mnatosheka? Koma tena koma. Usilete upumbavu hapa. Hizo za wake wanne sindo mna kazi ya kuwekeana taatabu mara kutupiana majini, etc? Na hii mada hatuko hapa kukashifiana dini kuwa na adabu. Ufirauni kwenu ndo mumeujaza. Sasa ni hivii? Ndoa ni moja takatifu. Makahaba mumepigwa pigo la kiparoko... makahaba nyie. Ya klyn juu ya ule wosia ni makahaba nyie nyie mulijaa mitandaoni kumtetea. Kapigwa kata funua sasa hivi kimyaaaa sembuse huyu hawara?
 
Wamechukizwa na mbunge kuvamia "makaburini" ila wanachekelea 'ndugai" kuvunja Katiba!
 
Kumbe hujui sheriaaaaa.... yaani nikasema sitaki nikuone kwenye msiba kwangu tena kwneye premises zangu amd thats it. Yaan sheria zinanilinda. Usidangamywe. Ni ule uafrica wetu tu kuchukuliaga poa. Yaan nikisema sitaki hata unisogelee mita 100 karibu yangu kwasababu kadhaa basi u are in trouble. Same applies to msiba. Hilo ni jambo la kifamilia. Yaan nina maamuzi nani na nani siwataki na nani na nani wawepo. Usijidanganye kwa vimaneno vya uswazi. Kwamfano wale kina magige wangepigwa ama kuumizwa unadhan kuna ambaye angefanywa lolote? Maana iko wazi inajulikana kuna mgogoro wa kimaslahi. Usidanganyike. Utajakatwa na mapanga siku shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…