CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Wawe sio mke Wala mume wa MTU wakikaa miezi sita wanahesabika ni wanandoa. Lakini kama mmoja kati yao ama wote wanandoa especially za kikristu hii SHERIA haiwi applicable.

Nadhani hii iliwekwa kulinda maslah yao na watoto kama watatokea. Sababu unakuta wanaishi wanatafuta Mali wanazaa na mtoto halafu mmoja haswa wanaume anachukua kila kitu anaenda kuoa mtu mwingine na kutekeleza mtoto/watoto.
 
Nimesoma maelezo yako nimeyapenda sana.. hongera mnoo
 
NAONA WATANZANIA WENGI WANAAMINI KUWA NADHARIA YA NDOA NI MIEZI SITA BADALA YA MIAKA MIWILI.
 
Wewe hata huyo mnaesema "mke" wa kwanza hakuna ndoa hapo kwa sheria za Kiislaam, nimechukulia kuwa Aziza alikuwa Muislam na Uislam hauruhusu mwanamke wa Kiislaam kuollewa na asie Uislam hususan Myahudi na Mkristo na naamini na Wayahudi na Wakristo nao ni hivyo hawaruhusiwi kuoa ambao si wa dini zao.


Kwa maana hiyo, zote hizo ni zinazaa Kiislaam na serikali imeridhia nazo kwa hiyo sasa wasijidai, au wazifute sheria zao wazifute sheria za dini lijulikane moaj.

Tusirembe wala tusijazane ujinga kwenye hili.

Hapo watu wanaoneshana nani mwenye dhambi zaidi, hakuna lolote ni wazinzi tu wote hao.
 
Aseee[emoji848]

Una hekima sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona msiba wa Mzee wetu JPM watu walivunja geti na kulaza nguo barabarani. Wala hakuna chama kilichochukizwa?

Tuache double standard
Acheni watu waonyeshi hisia zao kwa mpendwao wao aliyewaacha.
 
“Hell has no fury like a woman scorned”

In this instance both women think their actions are justified in their own rights.

Tells you akili za wanawake waachie wenyewe.
 
Mke wa marehemu alivyotupa lile shada la maua la Catherine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu na waume zao bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu tu. Wakati akiwa hai mbona alitengana na mme.

Wanawake jueni ukisusa wenzako wanakula. Ningekuwa mi marehemu ningeinuka nimukatalie Unafiki wake wa kunipenda nikiwa marehemu
 
Dini ya kibaguzi .

Sio ajabu hata huko kwa Allah mmebaguliwa kwa jinsia

Kuna walioahidiwa bikra 72 , wengine hawajapewa ahadi yeyote

Tafakari!
 

Nilidhani wewe unatuletea facts hapa,kumbe unaendeleza blah blah tu.Unataka tusimwamini Dada yake aliyehojiwa na kusema Marehemu hakuwahi toa talaka kwa mkewe wa Ndoa tuje tukuamini wewe ni hadithi yako ya kusoma nae Ilboru?

Kama kweli wewe ni msomi tena wa Ilboru naomba kukuuliza,unajua Ndoa za Kikristo zilivyo? Tangu lini mtu akaoa mke mwingine na huyo mke akawa halali wakati hajawahi toa talaka hata kiserikali kwa mkewe wa Ndoa ya Kanisani? Unatuletea blah blah za kukaa na Kimada ndiyo uhalalishe kuwa alikuwa mkewe? Hata angekaa nae miaka 10,as long as hakuwahi toa talaka kwa Mkewe wa Ndoa ya Kanisani huyo Magige anabaki kuwa Hawara pro Max.
 
Uislamu unawabagua wakristo na wayahudi


Ila unawakubali wabudha,washinto,wahindu,wasatanism,na wapagani

Sio ndio?
 
HAKI ZA WANAWAKE sijui mko wapi kumtetea Magige asionewe. Kwani sheria inasemaje mwanamke akikaa na mwanaume zaidi ya miezi 6
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti rafiki yake. Hebu tuambie hiyo ndoa ilifungiwa wapi na lini. Ujue unajidhalilisha. Rafiki gani usiyejua hata ABCD

Kanichekesha huyu,nilidhani anatuletea facts,kumbe ni hadithi za kusoma na Marehemu Ilboru [emoji3][emoji3][emoji3]
 

Toa hata Mabilion ya pesa bado haihalalishi hizi blah blah zako. Btw hapa hatuhitaji hata kujua ulichangia shilingi ngapi maana siyo mada husika,hapa tunaongelea Mke halali Vs Hawara Pro Max.
 
Dini ya kibaguzi .

Sio ajabu hata huko kwa Allah mmebaguliwa kwa jinsia

Kuna walioahidiwa bikra 72 , wengine hawajapewa ahadi yeyote

Tafakari!
Ni majina tu ya kiislamu, mume Omary na mke anaitwa Aziza; hila nadhani wote ni wakristo (not certain about the wife religion though).

Catherine ni public figure lakini ili swala ni private, mke wa marehemu anayo haki ya kutema nyongo na kimada (Catherine) alikuwa na haki ya kumzika mtu aliekuwa akiishi nae.

Kwa mila zetu ni mambo ya kifamilia kwa watu wa nje kufuatilia zaidi ni umbea tu.

Huyo Shaka if anything anatakiwa kuwaonya tu ugomvi wao usiende public tena; but both women have the right to grieve in their own rights.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…