CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Mtatumia nguvu nyingi Sana kusema uongo, sijui kwa faida GANI,,, hizo zako ni story za kufikirika na za uongo. Acha upuuzi na acha kudanganya watu. Ukweli ndo huo niliousema hapo, na Sina ukatibu na yeyote Kati yao, Sina interests, na sijahadithiwa

Naamini unachokisema maana umekisimia tangu mwanzo.[emoji1666][emoji1666]
 
Yes. Na ndo ukweli. Anakazania tu uongo. Si aseme ukweli sasa.

Hapo sasa,ngaiwoye angekuwa muongo asingerudi kutetea alichokisema tangu mwanzo wa topic hii.Ndiyo maana nimerefer with confindence,sasa anayekanusha kuwa ni uongo hatupi huo ukweli anaouamini yeye.
 
Uwt kumejaa wauza nyama tupu,uvccm kumejaa wadangaji tupu hakuna mfano wa kuwatolea,limama linasimama bungeni n kijisifia shepu lake....wamama wa ccm ndio mabingwa wa kufunga vibenten,wengi wanakula mbolea kama jobu

Na wewe unatamani kufanywa kiben10😂😂😂😂😂😂???
Wanaume Chadema si mnafanywa chakula chakula cha faragha kwa wabelgiji.... au hamtosheki🙄🙄

Tulizana maana uwt hutowaweza
 
Hapo sasa,ngaiwoye angekuwa muongo asingerudi kutetea alichokisema tangu mwanzo wa topic hii.Ndiyo maana nimerefer with confindence,sasa anayekanusha kuwa ni uongo hatupi huo ukweli anaouamini yeye.
Nakubaliana na wewe. Na ndivyo inavyosemekana since awali
 
Hujui ulisemalo. Huyo bwana kahama nyumbani mwaka Jana baada ya matokeo ya Kura. Na lilikua anakata roho alikuwa anaomba aitiwe mke wake aziza na alkua anamwonba msamaha, sijahadithiwa nilikuepo haponkwa Dr mohamed alipoingizwa kwenye chumba Cha sindano.
Lakini ni kwanini wale wapambe wa mbunge wavinje Ile gate, waingie msibani kwa nguvu, wamekuta ibada inaendelea hawakuheshimu Ile ibada mbunge akaweka shada... Halafu wakawa wanasema ccm hoyee na wapo na viongozi wa UWT? Kwanini waliingizwa mambo ya chama kwenye mambo binafsi???
Hao wanatakiwa kuwa lockup maana walipelekea kuvunjika kwa amani! Watu wangechomana visu na kupigaña majembe na makoleo tungeishia kuwa na Misiba mingi! Kama kiongozi u need to contain yourself emotionally!
Tena unawatangazia kidumu chama cha mapinduzi kwani kilikutuma uww family crasher 😡!
 
Kwanini yeye Catherine na mob yake walikua wanatumia nembo za chama kimaneno na vitendo?? Kama ni mambo yao binafsi kwanini walkua wanasema "CCM hoyee" kwanini wengine walivaa kijan na njano??? Na kwanini waliambatana na viongozi wa UWT??? Huoni Ile fujo walkua wanafanya pale walikua wanakidhalilisha chama??? Namuunga mkono aslimia 100% ndugu Shaka Shaka. Hatutakubali watu wachafue image ya chama kiholela.
HEBU THIBITISHA HILO? CATHERINE ALIITISHA HICHO KIBWAGIZO? MBONA HAIINGII AKILI? YAANI, CCM HOYEE ILITOKANA NA NINI? MBONA HAI MAKE SENSE? YAANI, KWA KUWA MLIPANGA KUMCHAFUA CATHERINE MKATENGENEZA SAUTI YA CCM HOYEE KATIKA TUKIO LISILO NA UHUSIANO NA CCM HOYEE? UJINGA!
 
Unapokuwa kiongozi wa umma huna maisha yako binafsi, huo uhuru unaondoka automatic. Kila unachokifanya kinawakilisha uongozi wako, huwezi kuvuruga taswira ya kioungozi ukasema ni maisha yako binafsi.

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
AMEVURUGAJE TASWIRA YA KIUONGOZI? NI MAMBO AMBAYO HAYAWEZI KUTHIBITISHWA NA KILICHOTOKEA. CCM HAWANA WANACHOKIJUA KUHUSU MAHUSIANO YA CATHERINE NA MAREHEMU. CATHERINE AMEENDA KUSHIRIKI MAZISHI YA MPENDWA WAKE, HAKUFANYA VURUGU, YEYE NDIYE AMEFANYIWA VURUGU CCM WANAIBUKAJE KWENYE JAMBO HILO KIZEMBE NAMNA HIYO? WAMETUMIA MAMBO GANI KUFIKIA HILO HITIMISHO KAMA SIO KUINGIA MKENGE KWENYE MINYUKANO YA SIASA ZA ARUSHA? MAREHEMU MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKE ALIKUWA AISHI NA CATHERINE, KWA HIYO MAREHEMU ALIKUWA NI MTU MWENYE MAHUSIANO NA CATHERINE AMBAYO KUYATENGANISHA SIO JAMBO LA KUKURUPUKA KAMA WALIVYOKURUPUKA CCM NA WATU WENGINE WANAOMSHAMBULIA CATHERINE!
 
HEBU THIBITISHA HILO? CATHERINE ALIITISHA HICHO KIBWAGIZO? MBONA HAIINGII AKILI? YAANI, CCM HOYEE ILITOKANA NA NINI? MBONA HAI MAKE SENSE? YAANI, KWA KUWA MLIPANGA KUMCHAFUA CATHERINE MKATENGENEZA SAUTI YA CCM HOYEE KATIKA TUKIO LISILO NA UHUSIANO NA CCM HOYEE? UJINGA!
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13]unaona WATU ni hamnazooo. YAni Mimi ningekua nyinyi ningetulia kabisa nijitafakari. Hivi mnavyoleta hoja mfu zisizo na mashiko ndo mnachokoza WATU waanze kuwafukulia mambo ambayo yashaanza kutulia. Tulieni
 
AMEVURUGAJE TASWIRA YA KIUONGOZI? NI MAMBO AMBAYO HAYAWEZI KUTHIBITISHWA NA KILICHOTOKEA. CCM HAWANA WANACHOKIJUA KUHUSU MAHUSIANO YA CATHERINE NA MAREHEMU. CATHERINE AMEENDA KUSHIRIKI MAZISHI YA MPENDWA WAKE, HAKUFANYA VURUGU, YEYE NDIYE AMEFANYIWA VURUGU CCM WANAIBUKAJE KWENYE JAMBO HILO KIZEMBE NAMNA HIYO? WAMETUMIA MAMBO GANI KUFIKIA HILO HITIMISHO KAMA SIO KUINGIA MKENGE KWENYE MINYUKANO YA SIASA ZA ARUSHA? MAREHEMU MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKE ALIKUWA AISHI NA CATHERINE, KWA HIYO MAREHEMU ALIKUWA NI MTU MWENYE MAHUSIANO NA CATHERINE AMBAYO KUYATENGANISHA SIO JAMBO LA KUKURUPUKA KAMA WALIVYOKURUPUKA CCM NA WATU WENGINE WANAOMSHAMBULIA CATHERINE!
Daaaa siasa gani za Arusha?? Hiyo Catherine kwani ni mbunge wa jimbo??? Tulieni, mnaanza kuamsha maswala ambayo yashaanza kutulia
 
Back
Top Bottom