CCM kumeguka iwapo Polepole atafukuzwa uanachama na huu ndio mwanya wa upinzani kupata nguvu 2025

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.

Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.

Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
 
Haiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.
 
Ccm ilikuwepo kabla ya polepole ! Ye ninani hasa
 
Chanjo ipite mbali na mimi mpaka kirusi cha zaidi ya 10 na polepole akitimuliwa ataungwa mkono na wale wote walio upande wa rais wa tano. hapa huwezi jua nin kitaendelea yetu macho
 
Kupitia nyuzi kama hizi ndio mnamjaza ujinga Polepole wa watu kujikuta anakubalika sana. Polepole ni mtu mdogo mno katika CCM na hii nchi kwa ujumla.
Umaarufu pekee aliokuwa nao ni kuwa alifanya kazi na Magufuli hivyo basi kifo cha Magufuli kimeondoka na umaarufu wa Polepole. Kwa lugha nyingine Polepole alitembelea umaarufu wa Magufuli.
Sasa kumuaminisha kuwa akifukuzwa CCM atamegua chama ni kumpalilia anguko lake mwenyewe. Maana kama ana mantiki yeyote iliyobaki kwa sasa ni uwepo wake CCM., tofauti na hapo Polepole ni mithili ya kina Juma Lukole na Mwijaku; kuishi kwa kiki na mipasho.
 
Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.

Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.

Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Sema kundi la Wamachinga ndilo litakalomfuata Polepole.

Halafu wengi wao huwa hawapigi kura vituo vyao viko Mikoani.
 
Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.

Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.

Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Wamwaachie mwamba kwanza. Mengine mengi yaja
 
Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.

Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.

Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Polepole si lolote si chochote ndani ya ccm,ataondoka na hakuna chochote kitatokea

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.

PolePole anabebwa Na philosophy za Magufuli Na anakuja wakati Ccm kuna chuki, makundi etc
 
Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.

Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.

Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Haikutetereka ALIPOFUKUZWA hayati Seif Sharrif Hamad na hayati mzee Jumbe iwe kwa Polepole.....Polepole kweli ?!!! 😳😳😳🤣🤣

Bandiko la kitoto haswaaaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom