Unafeli unapodhani ni Polepole kama Polepole
Polepole ana group linalompa kichwa na ndio limejaa serikalini
Mawaziri wooote ni wa Magufuli na wote ni Polepole backers.
Wabunge wote waliingizwa na Magufuli na Polepole na wote ni Polepole backers.
Na pia dont make a mistake,mangula boss wenu ni Polepole backer maana ni Magufuli appointee
Mlichofeli ni kurithi watu wote wa Magufuli,hapo ndio mlipofeli,hasa mawaziri
Dont forget,Khasim Majaliwa na Makamu wa Rais ni vijana wa Magufuli na ni Polepole backers
Wewe unadhani Polepole kapatia wapi nyodo zote hizo?
Good luck dealing with him kwa kudhani mna-deal na Polepole tu