Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Haiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Lowassa alikuwa na harufu ya ufisadiHaiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.
Ccm ilikuwepo kabla ya polepole ! Ye ninani hasaKundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Sasa kwanini mlimpokea? Hakuna aliyekuwa anajali, lowassa alikuwa na nguvu bwana. polepole hana hiyo nguvu.Lowassa alikuwa na harufu ya ufisadi
Sema kundi la Wamachinga ndilo litakalomfuata Polepole.Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Tatizo lowasa kashfa ya Richmond ilimchafua angekuwa msafi lowasa chadema mngeongozaHaiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.
Wamwaachie mwamba kwanza. Mengine mengi yajaKundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Polepole si lolote si chochote ndani ya ccm,ataondoka na hakuna chochote kitatokeaKundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Haiwezekani, kama lilishindikana kwa lowasa, polepole hana nguvu aliyokuwa nayo lowassa. Ni vile mwenyekiti hajaamua tu.
Tumia lugha nzuri we pimbiwacha nguruwe zitafune nguruwe mwenzao.
Haikutetereka ALIPOFUKUZWA hayati Seif Sharrif Hamad na hayati mzee Jumbe iwe kwa Polepole.....Polepole kweli ?!!! 😳😳😳🤣🤣Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Hahaha nimecheka sana
Ova
Kwani Polepole ni msafi!?Lowassa alikuwa na harufu ya ufisadi
Same stories za Lowassa ataivunja CCM, wote wanatafta kula wakiona mambo mazito atajikuta yuko peke yakePolePole anabebwa Na philosophy za Magufuli Na anakuja wakati Ccm kuna chuki, makundi etc