Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #21
We fala unajua nini hapa Tz?Haikutetereka ALIPOFUKUZWA hayati Seif Sharrif Hamad na hayati mzee Jumbe iwe kwa Polepole.....Polepole kweli ?!!! 😳😳😳🤣🤣
Bandiko la kitoto haswaaaa🤣🤣🤣
Hakuna cha kashfa, watanzania wanajali unadhani kuhusu hilo? Tanzania hawana sababu ya kukupenda wala kukuchukia ndiyo maana na ufisadi wote bado CCM iko madarakaniTatizo lowasa kashfa ya Richmond ilimchafua angekuwa msafi lowasa chadema mngeongoza
🤣🤣We fala unajua nini hapa Tz?
Acha ungese🤣🤣
Argumentum ad hominen ...wewe unakijua kipi cha mno....?!!!
Kuchukua $ naona bado hawa hawako seriousKuna mambo yanachekesha wapinzani wenyewe akina zitto, cheyo na lipumba tupilia mbali nguvu za kivyama hao hata nguvu za kiume hawana
Mnamjaza ujinga BWANA KOBE.Unafeli unapodhani ni Polepole kama Polepole
Polepole ana group linalompa kichwa na ndio limejaa serikalini
Mawaziri wooote ni wa Magufuli na wote ni Polepole backers.
Wabunge wote waliingizwa na Magufuli na Polepole na wote ni Polepole backers.
Na pia dont make a mistake,mangula boss wenu ni Polepole backer maana ni Magufuli appointee
Mlichofeli ni kurithi watu wote wa Magufuli,hapo ndio mlipofeli,hasa mawaziri
Dont forget,Khasim Majaliwa na Makamu wa Rais ni vijana wa Magufuli na ni Polepole backers
Wewe unadhani Polepole kapatia wapi nyodo zote hizo?
Good luck dealing with him kwa kudhani mna-deal na Polepole tu
Imekuuma sana, ndugu pandikizi.Tumia lugha nzuri we pimbi
Anaother stupid pimbiImekuuma sana, ndugu pandikizi.
Waache wang'ataneKundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Polepole hana nguvu wala mtandao mkubwa kama mzee Lowasa, wengi wanamuona kama mhamiaji tu. Hana madhara hata akifukuzwaKundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani Polepole ndo aigawe CCM seriously? Hakuna mwana ccm mjinga kiasi hicho eti aondoke ccm kisa kiroboto.Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama.
Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa.
Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
Polepole ndo zaidi ya Lowassa maana tunajua jinsi fedha ya umma karibu trillion 1.5 ilivyotumika vibaya kununua wapinzani akishirikiana na Bashiru.Lowassa alikuwa na harufu ya ufisadi
Kupitia nyuzi kama hizi ndio mnamjaza ujinga Polepole wa watu kujikuta anakubalika sana. Polepole ni mtu mdogo mno katika CCM na hii nchi kwa ujumla.
Umaarufu pekee aliokuwa nao ni kuwa alifanya kazi na Magufuli hivyo basi kifo cha Magufuli kimeondoka na umaarufu wa Polepole. Kwa lugha nyingine Polepole alitembelea umaarufu wa Magufuli.
Sasa kumuaminisha kuwa akifukuzwa CCM atamegua chama ni kumpalilia anguko lake mwenyewe. Maana kama ana mantiki yeyote iliyobaki kwa sasa ni uwepo wake CCM., tofauti na hapo Polepole ni mithili ya kina Juma Lukole na Mwijaku; kuishi kwa kiki na mipasho.
Mi ni CCM hila tujitafakari sana hatuta tawala milele maana kuna vitu vya msingi tuviweke sawa, kukomoana hakuleti tija Nchi ni yetu sote,watoto wa Baba na Mama mmoja.Kwa nini Watu hawana Uhuru wa kujieleza na kutoa maoni?Kupitia nyuzi kama hizi ndio mnamjaza ujinga Polepole wa watu kujikuta anakubalika sana. Polepole ni mtu mdogo mno katika CCM na hii nchi kwa ujumla.