Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Dec 18, 2021 #41 Unaongelea upinzan gan mkuu huu wa kususa susa Kama madem Hakuna upinzan Hapa Tanzania n wachumia tumbo
Unaongelea upinzan gan mkuu huu wa kususa susa Kama madem Hakuna upinzan Hapa Tanzania n wachumia tumbo
machomanne JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 822 Reaction score 925 Dec 18, 2021 #42 Pole pole na wamtimue tu hafai. Ndiye aliyekuwa akiongoza biashara ya kununua wapinzani na anawapokea kwa mbwebwe huku akitukana wapinzani .Atulie la sivyo hata hako kaubunge ka viti maalum atakakosa afe njaa.
Pole pole na wamtimue tu hafai. Ndiye aliyekuwa akiongoza biashara ya kununua wapinzani na anawapokea kwa mbwebwe huku akitukana wapinzani .Atulie la sivyo hata hako kaubunge ka viti maalum atakakosa afe njaa.