CCM Kuna mpasuko mkubwa sana ndani, sasa mpasuko umeanza kionekana kwa nje

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM.

Tumeona akifurahishwa na matukio ya watu kutekwa akasema ni vi drama tu
Amekuwa akifurahishwa na matukio ya watu kuuwawa akasema kifo ni kifo tu. Sasa Wana Sisiyemu wamesema inatosha....

No reform no election, Oktoba utajitiki mwenyewe. Wana Sisiyemu hawafurahishwi na dhuluma, matesa na ukiukwaji wa haki anaofanyiwa Tundu Lissu.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na mateso wanayoyapata Wakristo, haswa wafuasi wa Gwajima ambao wamenyimwa haki yao ya kuabudu, na haki hiyo wamenyimwa na mwanamke wa Kiislam, mwenye chuki Kali dhidi ya Ukristo. Mwanamke huyo hakuishia kuwazuia wasiabudu kanisani kwao tu, hata walipoenda kusali kwenye kanisa la jirani, akalivunja kanisa Hilo. Hii ni chuki daraja la kwanza na ukiukwaji wa haki ya kuabudu ambayo sisi Wana Sisiyemu hatufurahishwi nayo.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na matukio ya watu kutekwa na kuuawa yanayofanywa na utawala wa Chura kiziwi.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na ukopaji wa mikopo isiyo na tija kwa taifa letu ambayo imekuwa ikiwanufaisha watu wachache sana.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uuzwaji wa bandari yetu kwa Waarabu, ambapo Pesa zote za mauzo ziliingia kwa watu wawili tu, mmoja wa Msoga na mwingine wa kizimkazi.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uporaji wa ardhi kule Ngorongoro ambapo Wamasai wanaondoshwa kwenye ardhi yao waliyorithi ma vizazi vilivyotangulia ili ardhi hiyo wapewe Waarabu.

Wana Sisiyemu hawafurahishwi na misitu yetu yote kuwapa Waarabu wakati kwao ni jangwa na hamna mti hata mmoja. Haturihisiwi hata kuokota Jani kutoka kwenye misitu yetu.

Wana Sisiyemu hatufurahishwi na wizi na ubadhirifu unaoendelea serikalini wenye baraka za mkuu. Kauli zake za kuchichea rushwa mathalani, Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, nk hazitufurahishi.

Huu ndio muda uliokubalika na Mungu, MamaSamia2025 must step down.

Tunataka kiongozi atakaye ongoza kwa kufuata haki, atakaye too katiba na kuitekeleza. Hatutaki kiongozi anayesema katiba ni kitabu tu, wakati amewekwa madarakani kwa mujibu wa wakatiba.

Mama Abduli, sisi Wana Sisiyemu tunasema imetosha. Jivue gamba.
 
Ni vizuri wakiendelea kutifuana ili waumbuane na kuvujisha madhambi yao.
 
Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
 
Back
Top Bottom