CCM Kuna mpasuko mkubwa sana ndani, sasa mpasuko umeanza kionekana kwa nje

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Naona Mama Abdul kachoka kuongoza hii nchi, hapa wa kuwalaumu ni machawa wake tu kina Steve Nyerere, Dotto Magari, Haji Manara, Harmorapa, na wapuuzi wengine anao wakumbatia.
 
Kwa sisi wakongwe,,,, hizi kauli zilianza aince enzi za Horace kolimba

Labda Kama wengine wageni kwrnye siasa kubwa za ccm

In 2015 ccm ilipoteza tel former prime ministers

Mwaka huu kapotea balozi mmoja mwenge adhd
 
Hata usipopiga kura ushindi ni lazima.
Uchaguzi hautokiwepo. Tumia akili zako kidogo kujiuliza yafuatayo;-
1. Kwanini Baraza la Wawakilishi halijavunjwa?
2. Kwanini Bunge la Muungano halijavunjwa?
Ukiweza kuwa na majibu sahihi karibu kwenye UGA wetu huu mpana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…