Hali hii sio ngeni kwa nyakati kama hizi. Haya yalisha tokea huko nyumaCCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM.
Tumeona akifurahishwa na matukio ya watu kutekwa akasema ni vi drama tu
Amekuwa akifurahishwa na matukio ya watu kuuwawa akasema kifo ni kifo tu. Sasa Wana Sisiyemu wamesema inatosha....
No reform no election, Oktoba utajitiki mwenyewe. Wana Sisiyemu hawafurahishwi na dhuluma, matesa na ukiukwaji wa haki anaofanyiwa Tundu Lissu.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na mateso wanayoyapata Wakristo, haswa wafuasi wa Gwajima ambao wamenyimwa haki yao ya kuabudu, na haki hiyo wamenyimwa na mwanamke wa Kiislam, mwenye chuki Kali dhidi ya Ukristo. Mwanamke huyo hakuishia kuwazuia wasiabudu kanisani kwao tu, hata walipoenda kusali kwenye kanisa la jirani, akalivunja kanisa Hilo. Hii ni chuki daraja la kwanza na ukiukwaji wa haki ya kuabudu ambayo sisi Wana Sisiyemu hatufurahishwi nayo.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na matukio ya watu kutekwa na kuuawa yanayofanywa na utawala wa Chura kiziwi.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na ukopaji wa mikopo isiyo na tija kwa taifa letu ambayo imekuwa ikiwanufaisha watu wachache sana.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uuzwaji wa bandari yetu kwa Waarabu, ambapo Pesa zote za mauzo ziliingia kwa watu wawili tu, mmoja wa Msoga na mwingine wa kizimkazi.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uporaji wa ardhi kule Ngorongoro ambapo Wamasai wanaondoshwa kwenye ardhi yao waliyorithi ma vizazi vilivyotangulia ili ardhi hiyo wapewe Waarabu.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na misitu yetu yote kuwapa Waarabu wakati kwao ni jangwa na hamna mti hata mmoja. Haturihisiwi hata kuokota Jani kutoka kwenye misitu yetu.
Wana Sisiyemu hatufurahishwi na wizi na ubadhirifu unaoendelea serikalini wenye baraka za mkuu. Kauli zake za kuchichea rushwa mathalani, Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, nk hazitufurahishi.
Huu ndio muda uliokubalika na Mungu, MamaSamia2025 must step down.
Tunataka kiongozi atakaye ongoza kwa kufuata haki, atakaye too katiba na kuitekeleza. Hatutaki kiongozi anayesema katiba ni kitabu tu, wakati amewekwa madarakani kwa mujibu wa wakatiba.
Mama Abduli, sisi Wana Sisiyemu tunasema imetosha. Jivue gamba.
شكرًا لكHali hii sio ngeni kwa nyakati kama hizi. Haya yalisha tokea huko nyuma
Jambo usilolijua ni kuwa huyo unaemsifia ndio yuko nyuma ya huyo mama na ana control kila kinachoendelea..yeye ndie "remote" na Kwa hivi majuzi huyo mama kamtambulisha kama "boss" wake..kusoma hujui hata picha huoni?Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Ameongelea utawala. Kikwete hakuwa na boss wake alipokuwa madarakani. Ni aibu rais unapotamka hadharani kwamba una mkuu wako wa kaziJambo usilolijua ni kuwa huyo unaemsifia ndio yuko nyuma ya huyo mama na ana control kila kinachoendelea..yeye ndie "remote" na Kwa hivi majuzi huyo mama kamtambulisha kama "boss" wake..kusoma hujui hata picha huoni?
No reform no election. Oktoba utajitiki mwenyeweTunataka no reform no election
Unafurahia watu kuuwawa?kila ili kitokee lazima iwepo sababu haijalishi mauaji, ugonjwa au ajali
Kmmk 😁🙌No reform no election, maji hamtoita mma, mtaita manjota
Same to you 😁🙌Kmmk 😁🙌
😁Same to you 😁🙌
Mkuu kwa tabia hizi za huyu jamaa atambue kuwa dunia ni duara, ipo siku yake nae atakutana na hayahaya anayofurahia wenzake kufanyiwa! Mungu ni mwema kila wakati na kisasi chatoka kwake.umeona akifurahishwa na matukio ya watu kutekwa akasema ni vi drama tu
Amekuwa akifurahishwa na matukio ya watu kuuwawa akasema kifo ni kifo tu. Sasa Wana Sisiyemu wamesema inatosha....
HakikaMkuu kwa tabia hizi za huyu jamaa atambue kuwa dunia ni duara, ipo siku yake nae atakutana na hayahaya anayofurahia wenzake kufanyiwa! Mungu ni mwema kila wakati na kisasi chatoka kwake.
Lucas Mwashambwa ana laana ya miungu yote
HakikaHayo yatakuwa yanaleta unajisi kwenye jukwaa letu. Yalaaniwe haya mauaji ya binadamu wenzako.
Si ndio ushindi wenyewe ninaongelea.Uchaguzi hautokiwepo. Tumia akili zako kidogo kujiuliza yafuatayo;-
1. Kwanini Baraza la Wawakilishi halijavunjwa?
2. Kwanini Bunge la Muungano halijavunjwa?
Ukiweza kuwa na majibu sahihi karibu kwenye UGA wetu huu mpana
ChawaMimi na wenzangu wengine tumekubaliana tutampigia kura Rais Samia na Inshaallah atashinda. Hizo hazitutishi.
Kijana wa kububujikwa na machozi atakua anaandika kukujibu ulioandika huku machozi yakimbubujikaCCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM.
Tumeona akifurahishwa na matukio ya watu kutekwa akasema ni vi drama tu
Amekuwa akifurahishwa na matukio ya watu kuuwawa akasema kifo ni kifo tu. Sasa Wana Sisiyemu wamesema inatosha....
No reform no election, Oktoba utajitiki mwenyewe. Wana Sisiyemu hawafurahishwi na dhuluma, matesa na ukiukwaji wa haki anaofanyiwa Tundu Lissu.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na mateso wanayoyapata Wakristo, haswa wafuasi wa Gwajima ambao wamenyimwa haki yao ya kuabudu, na haki hiyo wamenyimwa na mwanamke wa Kiislam, mwenye chuki Kali dhidi ya Ukristo. Mwanamke huyo hakuishia kuwazuia wasiabudu kanisani kwao tu, hata walipoenda kusali kwenye kanisa la jirani, akalivunja kanisa Hilo. Hii ni chuki daraja la kwanza na ukiukwaji wa haki ya kuabudu ambayo sisi Wana Sisiyemu hatufurahishwi nayo.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na matukio ya watu kutekwa na kuuawa yanayofanywa na utawala wa Chura kiziwi.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na ukopaji wa mikopo isiyo na tija kwa taifa letu ambayo imekuwa ikiwanufaisha watu wachache sana.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uuzwaji wa bandari yetu kwa Waarabu, ambapo Pesa zote za mauzo ziliingia kwa watu wawili tu, mmoja wa Msoga na mwingine wa kizimkazi.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na uporaji wa ardhi kule Ngorongoro ambapo Wamasai wanaondoshwa kwenye ardhi yao waliyorithi ma vizazi vilivyotangulia ili ardhi hiyo wapewe Waarabu.
Wana Sisiyemu hawafurahishwi na misitu yetu yote kuwapa Waarabu wakati kwao ni jangwa na hamna mti hata mmoja. Haturihisiwi hata kuokota Jani kutoka kwenye misitu yetu.
Wana Sisiyemu hatufurahishwi na wizi na ubadhirifu unaoendelea serikalini wenye baraka za mkuu. Kauli zake za kuchichea rushwa mathalani, Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, nk hazitufurahishi.
Huu ndio muda uliokubalika na Mungu, MamaSamia2025 must step down.
Tunataka kiongozi atakaye ongoza kwa kufuata haki, atakaye too katiba na kuitekeleza. Hatutaki kiongozi anayesema katiba ni kitabu tu, wakati amewekwa madarakani kwa mujibu wa wakatiba.
Mama Abduli, sisi Wana Sisiyemu tunasema imetosha. Jivue gamba.
October tuna ✅️CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM.