Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.