Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
maskini,Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya ccm kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali rais samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikua amalizie awamu ya magufuli kisha apumzike. Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na linauungwqji mkono mkubwa na vingunge wa ccm wa akiwamo mh spika aliejiuzulu Job ndungai jaji warioba, luaga mpina na kundi kubwa la wanaccm waojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
Comrade tusaidie kunyoosha maelezo basi maana Ulichokiandika hapa bado hakijajibu hiyo hojamaskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah 🐒
Hoja nzito sana hii unakuja na majibu mepesi kiasi hichi wewe hufai kuwa chawamaskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!🐒
Lissu na lema wasije kufanya kampeni za kumtukana mbowe kwa Samia, watakuwa kama Dr SlaaWasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya ccm kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali rais samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikua amalizie awamu ya magufuli kisha apumzike. Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na linauungwqji mkono mkubwa na vingunge wa ccm wa akiwamo mh spika aliejiuzulu Job ndungai jaji warioba, luaga mpina na kundi kubwa la wanaccm waojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
hii sio hoja gentleman,Hoja nzito sana hii unakuja na majibu mepesi kiasi hichi wewe hufai kuwa chawa
Takataka za zanzibar lazima ziondolewe serikalini haraka iwezekanavyo kabla ya rostam azizi kuangamiza nchiKwa kweli Samia na supporters wake wamejitia aibu sana kwa kitendo chao cha kushindwa kuzuia hisia zao! Inafahamika huko ndani ya ccm mtu akipata madaraka fulani uwa anapenda aendelee kusalia madarakani kadri iwezekanavyo lakini angalau atafuata taratibu kimagumashi na hatimaye atafanikisha lengo lake lakini sivyo alivyofanya Samia na kundi lake wao wameonesha waziwazi tamaa yao ya madaraka na ving'ang'anizi kwa kupindisha taratibu hali hii inaweza kuleta tafrani ndani ya chama na kuibua uasi.
gentleman,Comrade tusaidie kunyoosha maelezo basi maana Ulichokiandika hapa bado hakijajibu hiyo hoja
Hata mimi najiuliza wangepitisha mchakato wa kiini macho kama kawaida yao huku wakijua vyema aliyepo ataendelea kuwepo kulikuwa na shida gani?Kwa kweli Samia na supporters wake wamejitia aibu sana kwa kitendo chao cha kushindwa kuzuia hisia zao! Inafahamika huko ndani ya ccm mtu akipata madaraka fulani uwa anapenda aendelee kusalia madarakani kadri iwezekanavyo lakini angalau atafuata taratibu kimagumashi na hatimaye atafanikisha lengo lake lakini sivyo alivyofanya Samia na kundi lake wao wameonesha waziwazi tamaa yao ya madaraka na ving'ang'anizi kwa kupindisha taratibu hali hii inaweza kuleta tafrani ndani ya chama na kuibua uasi.
Hata kama hauwakubali hao uliowataja ila haipendezi uwaite useless persons.maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!🐒
Gentleman,Hata kama hauwakubali hao uliowataja ila haipendezi uwaite useless persons.
Najua hata viongozi wa sasa unaowakubali hauwakubali kwasababu unawapenda ila ni kwasababu ya vyeo vyao siku wakikaa pembeni nao utawaita hivihivi.