Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Duuh kumbe ndivyo ilivyo? Kwamba ndani ya ccm kuna useless persons!?!maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!🐒
useless individuals hushadadiwa na useless persons 🐒Duuh kumbe ndivyo ilivyo? Kwamba ndani ya ccm kuna useless persons!?!
Ule ulikuwa mtego, kuna wahuni wakamsanua ukitoka tu mapinduzi yanafanyika.Mambango ya Samia Mengi sana Barabarani kama Kweli anafanya vuzuri na CCM wanamkubali siku ya mkutano mkuu angetoka nje
Ooh hapa umeeleweka sana. Umepigamo mule muleuseless individuals hushadadiwa na useless persons 🐒
Ndugai na Mpina hawana nguvu.Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Wewe ni FATANI....Wasalaam

Wewe si mwanaccm....yanakuhusu nini maamuzi ya wanaccm?!!Watanzania wengi tunaojitambua hatujafurahishwa na mchakato uliofanyika kihuni huko Dodoma wa kumpata mgombea urais 2025
Nimetulia na ushirikina wewe ndiye unaeufanya sana na mada zako zenye maneno marefu kama mtango zisizokuwa na pakushika zimo humu ukihitaji utaletewa. Mbona sikuhizi humwandiki tena Mbowe?gentleman umekuja na ushirikina wako hadi kwenye hoja isiyo husika kabiasa?
andikia uzi mahususi gentleman,Nimetulia na ushirikina wewe ndiye unaeufanya sana na mada zako zenye maneno marefu kama mtango zisizokuwa na pakushika zimo humu ukihitaji utaletewa. Mbona sikuhizi humwandiki tena Mbowe?
Huyu mgogo alikosea kwenda kuomba msamaha, ama sivyo leo hii angeonekana shujaa ndani ya ccm!Speech ya ndugai ni ya kizalendo sana, mwamba anajitambua mno na mtanzania halisi anatakiwa awaze kama ndugai
Ghost is inside part je wakifumue chama chote ama mam awapishe majibu hapo May or July... jambo lakutisha ikiwa mama atajaribu kujitoa mlipuko wa shangwe utakuwa mkubwa kiasi atajisikia vibaya sana so let be silenceWasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Na ukumbuke kuwa kikitokea hicho unacho kijua ndani ya huo mwezi uliyo utaja wewe ndo utakaye wajibika.Hii ngoma bado mbichi!
1. Mwezi May kuna kitu kitatokea!
2. Ikiendelea hivi ilivyo Nchimbi atakua rais kwa mlango wa nyuma!
3. Nchimbi akiwa rais hataendeleza ujinga ujinga! Atakua rais kweli kweli!
Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Mimi msaada pekee nitakao weza kufanya kwao ni kuwasaidia kuokota vilivyosambaa baada ya mnyukano.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka ,pigo takatifu.
we nyau hizo ni bange zinakusumbuaWasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Endelea kusubiria dodo chini ya mpapaiWasalaam

Ule ulikuwa mtego, kuna wahuni wakamsanua ukitoka tu mapinduzi yanafanyika.