Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Gentleman,Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa?
Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini?
Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji sana?
Kwako mkata viuno Bora sana wa Lumumba buku7 mwenye upofu mwingi usiejifunza hata kwa haya ya juzi TU baada ya bwana yako Emma kufinywa ulisusa jukwaa wiki nzima hukuonekana hapa ila kwakua njaa IPO kwenye ubongo umeaha sahau unakata viuno hata aibu huna nakukumbuaha Tena ccm hawana rafiki yuko wapi polepole?Gentleman,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, yanalenga katika kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya 2030.
hata hivyo,
kwa hali ya kisiasa ilivyo Tanzania,
Na kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya serikali sikivu ya CCM, huenda mgombea urais wa CCM akapata ushindi wa kishindo cha 100% uchaguzi mkuu wa Oct 2030.π
ushindi wa 100% halafu kuapishwa kwenye kambi za JESHI!Gentleman,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, yanalenga katika kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya 2030.
hata hivyo,
kwa hali ya kisiasa ilivyo Tanzania,
Na kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya serikali sikivu ya CCM, huenda mgombea urais wa CCM akapata ushindi wa kishindo cha 100% uchaguzi mkuu wa Oct 2030.π
Jeshi la wananchi wa Tanzania, right?πushindi wa 100% halafu kuapishwa kwenye kambi za JESHI!
kwani ni raisi wa wanajeshi?Jeshi la wananchi wa Tanzania, right?π
Rais ni kiongozi wa wananchi na waTanzania wote, JWT ni mali ya wananchi na waTanzania wote, changamoto ni nini hapo ikiwa wananchi wameamua kufanya kadiri inavyooneka inafaa?πkwani ni raisi wa wanajeshi?
asilimia 98 alafu unaapishwa kwenye mahandaki!Rais ni kiongozi wa wananchi na waTanzania wote, JWT ni mali ya wananchi na waTanzania wote, changamoto ni nini hapo ikiwa wananchi wameamua kufanya kadiri inavyooneka inafaa?π
huenda Oct 2030 waTanzania wakaamua tena na ikawa 100%, na kiongozi wa taifa lao akaapishwa kokote kadiri itakavyo onekana inafaa,asilimia 98 alafu unaapishwa kwenye mahandaki!
Hapo abduli na mama yake watakuwa wameamua kutumia bomu la nyuklia kuuwa Watanganyika wote ili Tanganyika nzima iwe mali yake binafsihuenda Oct 2030 waTanzania wakaamua tena na ikawa 100%, na kiongozi wa taifa lao akaapishwa kokote kadiri itakavyo onekana inafaa,
and nobody can do anything dhidi ya maamuzi ya wananchi na waTanzania wote kuhusu uongozi wa taifa lao π
I think this is useless comment of the day gentleman πHapo abduli na mama yake watakuwa wameamua kutumia bomu la nyuklia kuuwa Watanganyika wote ili Tanganyika nzima iwe mali yake binafsi
Wewe ni muuaji, unaumizwa sana na ukweli mchunguI think this is useless comment of the day gentleman π
huna haja ya porojo na upotoshaji jukwaani gentleman,Wewe ni muuaji, unaumizwa sana na ukweli mchungu