Ndugai na fomu ya Urais vinahusianaje?Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana na hafla fupi
Hii siyo hekima, tulitegemea CCM na ukongwe wao watoe mwanga kumbe wanavurunda,
Kwa heshima na utumishi wa Job Ndugai isengefaa hilo tukio lenu mlifanye miwili wake ukiwa Bado mortuary
Kauli yake ya HII NCHI ITAPIGWA MNADA ndo Bado mna hasira nae vifuani kwenu
Mkija eti mnakemea walioshangilia kifo cha Ndugai kumbe Kwa matendo yenu na nyie huko maofsini mnashangila kimya kimya
Jibu swali,kufa Ndugai na fomu ya Urais vinahusianaje?Wewe nishakudharau Toka zamani
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana na hafla fupi
Hii siyo hekima, tulitegemea CCM na ukongwe wao watoe mwanga kumbe wanavurunda,
Kwa heshima na utumishi wa Job Ndugai isengefaa hilo tukio lenu mlifanye miwili wake ukiwa Bado mortuary
Kauli yake ya HII NCHI ITAPIGWA MNADA ndo Bado mna hasira nae vifuani kwenu
Mkija eti mnakemea walioshangilia kifo cha Ndugai kumbe Kwa matendo yenu na nyie huko maofsini mnashangila kimya kimya
Sio msiba wa kitaifa ,mambo ya msiba yanaendelea kama shughuli zingine zinavyoendelea.Msiba hauwahusu CCM?
Kwanza wale walishangilia ni propaganda wameitegeneza waoSpika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana na hafla fupi
Hii siyo hekima, tulitegemea CCM na ukongwe wao watoe mwanga kumbe wanavurunda,
Kwa heshima na utumishi wa Job Ndugai isengefaa hilo tukio lenu mlifanye miwili wake ukiwa Bado mortuary
Kauli yake ya HII NCHI ITAPIGWA MNADA ndo Bado mna hasira nae vifuani kwenu
Mkija eti mnakemea walioshangilia kifo cha Ndugai kumbe Kwa matendo yenu na nyie huko maofsini mnashangila kimya kimya
Utaweza kuacha kufanya mtihani wa f4 au f6 kisa umefiliwa na mzazi wako ?Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana na hafla fupi
Hii siyo hekima, tulitegemea CCM na ukongwe wao watoe mwanga kumbe wanavurunda,
Kwa heshima na utumishi wa Job Ndugai isengefaa hilo tukio lenu mlifanye miwili wake ukiwa Bado mortuary
Kauli yake ya HII NCHI ITAPIGWA MNADA ndo Bado mna hasira nae vifuani kwenu
Mkija eti mnakemea walioshangilia kifo cha Ndugai kumbe Kwa matendo yenu na nyie huko maofsini mnashangila kimya kimya
Kama wao ndio wamemnaniliu ni sawa tuSpika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho