Tetesi: CCM kutotumia wimbo wa John Komba kwenye kampeni 2020 , yadaiwa unawachoma wanachama wake , ni ule wa " ccm mbele kwa mbele "

Mimi naupenda sana natamani ufanyiwe remix ya ( CCM mbele kwa mbele na CCM ni ile ile) uwe wimbo mmoja!
 
Sasa hivi tunaongerea uchaguzi wa serikali za.mitaa! Saccos.wameingia mitini mwaka kesho ndiyo kabisaa wenye saccos wanagawa mali zao sijui utahamia wapi??
Jana kwenye uzinduzi hatukuona wala kusikia ccm mbele kwa mbele .
 
Kigogo2014 atakuwa ndiye aliyekupa hizo taarifa. Kitu alichosahau Kigogo2014 kukijua ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi CCM huja na kibao mujarab kwa ajili ya uchaguzi husika.
 
Kwa hiyo wimbo ndio kura?
 
Ngoja tuwakumbushe wanaLumumba wimbo wao wasiotaka kuusikia kipindi hiki cha kuisoma namba, shukrani zimwendee mtunzi Capt. John Komba RIP kada wa CCM
Hatariiiii !!
 
Napendekeza wimbo huo utumike kunogesha kampeni za kambi ya wapinzani

Ikiwa hilo litatamalaki basi usishangae Mzee wa kushauriwa kwa kuanzia degree 4 akaupiga marufuku
 
STAR TV imekuwa ya MTOZI NYANDA, yaani hamna kitu pale na mtozi akiondoka inakufa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…